Friends and our Enemies,
Huyo anaejiita Askofu,kukimbilia kwake kwenye ulingo wa kisiasa kulitokana na kauli ya mwendazake kipindi kile ambacho alimtaka yeye BINAFSI kwa maslahi yake na hesabu...
Wakuu,
Wabunge wa Dar es Salaam: Elimu, Safari za Kisiasa, na Majukumu
1. Jerry Slaa - Mbunge wa Ukonga
Chama: CCM
Uchaguzi wa 2020: Kura 120,936 dhidi ya Asia Daudi Msangi (CHADEMA) aliyepata...
Mara nyingi mlikuwa pamoja mkifanya harakati za kuikomboa Tanzania.
Sasa mbona upo kimya? Nilitarajia ufungue application ya Harbeas Corpus ili Mdude aletwe mahakamani na aachiwe
Upo kimya...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina akiwa kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika viwanja vya Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma leo Mei 29, 2025
Wanachokifanya wanajua wenyewe. Ila mimi nilikuwa namuangalia usoni, hakuwa na nuru kabisa.
Je, anafanya kitu ambacho anajua siyo sahihi?
Jibu tumwachie yeye, naowawakilisha na Mungu wake.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuwataarifu viongozi wake, wanachama, na umma kwa ujumla kuwa tarehe 3 Juni 2025, Chama kitafanya kikao cha dharura cha Kamati Kuu.
Pia...
Mimi ni mwanafunzi wa shahada ya udaktar KCMC UNIVERSITY mwaka wa pili ni bado umri mdogo but najikuta nafatilia siasa mda mrefu kuliko fani yangu na roho inanilazimisha kutaka kukemea...
Watanganyika sasa ni wakati wa kupatwa kwa dola, dola kumbe nayo inaweza kushikwa na kuwekwa kiganjani na madogo kama abduli wauza spea kariakoo.
Kweli kua uyaone
GARI LA HUDUMA JIMBONI BIHARAMULO.
Mara baada ya kuingia madarakani mwaka 2020 mbunge wa biharamulo Mh Eng Ezra John Chiwelesa kwa moyo wake mwenyewe alichangamoto ya usafiri jimboni hasa...
Toka John Mrema ahitimu elimu ya Ualimu na kupata Gentlemen pass hajawahi kuwa na maisha nje ya Chadema au siasa.
Gari ya kwanza kumiliki Mbowe alimpa zawadi ya Nissan Safari ambayo ilikuwa Mali...
Kuna wajinga wengi hawaelewi
Uchaguzi ni takwa lla kikatiba na sheria za uchaguzi vilivyoidhinishwa na bunge
Hata CCM ingesema haitashiriki uchaguzi lazima ufanyike na vyombo vya dola...
Taarifa hii ni kwa mujibu wa maelezo ya Maria Sarungi kupitia mtanda wa X siku ya leo ambapo Maria pia ame- post taarifa kutoka chanzo chake anachodai huwa kinampa taarifa za uhakika.
Wadau...
Hii serikali ya inajipambanua kutumia mabavu kujibu hoja.
Baada ya kitima kushambuliwa pengine inafikiria kuifungia taasisi kongwe kwa kujihusisha na sisasa, wakatolik tupewe taarifa mapema ili...
Naumia sana nikimuwaza MDUDE NYAGALI CHADEMA na mbaya ZAIDI kweli rais Samia ameamua kukaa kimya asiseme lolote hata pole ya kinafiki? Mh kweli watanzania tumepatikana mno isivyo kawaida. Bora...
Familia ya Mzee Ali Kibao kupitia Mohamed Ali Kibao ambaye ni mtoto wa Mzee Kibao, imeomba uwepo wa uwazi na haki katika uchunguzi wa mauaji dhidi ya wahusika wa utekaji na mauaji ya Mzee Ali...
ccm, Samia na machawa wenu iwafikie taarifa kuwa barabara nyingi za lami kuunganisha mikoa na wilaya zimechakaa!
Mifano michache ni barabara za Arusha mjini! Ongezea barabara kuu inayounganisha...
Miaka ile ya Mrema anagombea Urais nchi ilikuwa ya moto.
Askofu Kakobe alikuwa upande wa Mrema. Alikuwa wa moto.
Ghafla akaambiwa kanisa lake limejengwa kwenye njia ya umeme mkubwa, linatakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.