Naongea na Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

X_INTELLIGENCE

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
9,672
12,245
Mh Rais naomba nikupongeze kwa kazi nzito unayo ifanya ambayo inakugharimu Muda mwingine usilale ukihangaika huku na huko.

nakumbuka siku za hivi karibuni nilishawahi kukutana na msafara wako huko Kawe siku ya Jumapili saa 3 kuelekea 4 za usiku.

nilipo kuwa kwenye foleni ya kukungoja upite nilijisemea ama kweli Rais anateseka muda wa kupumzika yeye yupo barabarani hii yote ni kutokana na uzalendo mkubwa na Mapenzi mazito uliyo nayo kwetu Watanzania.

Mh Rais mimi kama mwananchi ambae katiba yetu inaniruhusu kutoa maoni yangu nimeona leo niitumie mwanya huo kukuagiza mambo ambayo ukiyafanya nitaamini kuwa wewe kweli ni mzalendo na usipo yafanya nitajua kuwa ulitingwa hivyo sito kulaumu bali nitazidi kukuombea kwani upendo wangu kwako ni mkubwa nadhani wewe mwenyewe unajua japo hunifahamu.

images (10).jpeg

kwenye nchi yetu hii mpaka leo hakuna mtu alievunja rekodi ya kuzungumzwa kwa wema kama hayati Mzee Nyerere. lakini bahati ikawa juu yetu Rekodi hiyo hivi karibuni ikavunjwa na aliekuwa Rais Mh John Joseph Pombe Magufuli {mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi} , ambae enzi ya utawala wake alizomewa lakini baada ya kifo chake walio mzomea walianza kumzungumzia kwa wema.
images (7).jpeg

kinacho sababisha hivi sasa kila sekunde lazima watu wamzungumzie Mh Magufuli ni kutokana na utawala wake ulio acha Alama kila sehemu lakini kikubwa enzi ya utawala wa magufuli aliamua kujikita kwenye jambo moja kikamilifu huku akifanya na mambo mengine.

Magufuli alijua kuwa watanzania tunashida ya Miundo mbinu haswa barabara kwa uzalendo mkubwa alihakikisha nchi nzima ina chimbwa pasipo pitika palipitika penye mto paliwekwa daraja njia ikapatikana ama kwa hakika Magufuli alituweza.

kupitia utawala wa Magufuli ninakuomba Mheshimiwa Rais ujifunze kitu na kwa bahati nzuri ulikuwa msaidizi wake na kwa wewe mwenyewe ulishawahi kukiri kuwa Magufuli ni mtu alie kuwa anapenda matokeo yanayoonekana. Watanzania wanaweza wakakupenda au wakakuchukia kutokana na jinsi utakavyo walea ama wahudumia,

Watanzania wanahitaji mambo yanayoonekana kwa macho leo hii ukimzungumza Rais mstaafu Mh. Jakaya Mrisho Kikwete kwa ubaya kwa masenior wa serikali waliopo awato kuelewa na wanaweza wakakupiga mawe kwani enzi ya utawala wa Kikwete japo pia alifanya mambo yanayoonekana na alimwaga Ajira.
images (8).jpeg

Kikwete alijua kutufurahisha ndio maana leo hii huwezi kumzungumza mh Kikwete kwa ubaya ukaeleweka, Mh Kikwete alijua nini Watanzania wanataka.

kwa muhtadha huo jukumu la kubaki midomoni kwa Watanzania kwa WEMA lipo mikononi mwako.

kama Magufuli aliweza kuchimba sehemu hadi zisizo chimbika pakachimbika, alibomoa sehemu zilizoshindikanika kubomolewa paka bomolewa na barabara ikapatikana.

Mh Rais Samia Suluhu Hassani unao muda wa kutuachia alama nzuri isiyo futika Watanzania wakakushukuru na kukupenda kama walivyo fanya watangulizi wako.

usiwasikilize wanao kuita Mama wewe sio mama ni Rais, wote tunajua sifa za kina mama wa kitanzania huwa na upendeleo kwa baadhi ya watoto je umeamua kuwa Rais mwenye upendeleo...? anae taka kukuita mama akufuate nyumbani na sio IKULU...!

ukiwa mama utaacha kuwachukulia hatua watoto wako watukutu maana wamama wengi huwa wanawapenda sana watoto wao haswa wale watukutu....!

usikubari kuitwa Mama wanao kuita Mama awana nia njema kabisa na utawala wako WANAKUDANGANYA.
images (9).jpeg

kwenye nchi yetu hii iliyo jawa na Wanafiki, wafitini, wachonganishi na Waongo usikubari kisifiwa na sifa zikakulevya ni bora uchukiwe maana wale wote walichukiwa kwenye utawala wao baadae walikuja kupendwa.

Nimekuelewa sana tusimame dakika moja kumkumbuka jembe daima, huyu raisi uthubutu anao na role model wake ni mtangulizi ila waliomzunguuka na anakopata ushauri wa saa nane za usiku ndio sio kuzuri mzee wa junction anampoteza!
 
hapo ndipo Tatizo lilipo anzia...angesisimama yeye kama yeye nadhani angefanya vizuri zaidi...kwa nchi zetu za Afrika Marais wakike huwa wanafanyiwa hujma sana...!​
 
Umesema kweli kabisa. Ajenge barabara zionekane.
Pia amheshimu Mungu.
Asiwe kama Nebukadnezer na kuanza kusema
Tuache masihara,yupo nani kama mimi?
 
sio lazima barabara ajikite kwenye kitu kimoja kinachoonekana...kama ni hospital ajenge zinazoeleweka na aturahisishie huduma...

kama ni shule aziboreshe zilizopo na kuzingatia maslahi ya walimu ili watoe elimu yenye tija lakini kwa hali iliyopo ni kama kuna mgomo baridi wa Walimu...!

sasa kwa hali ilivyo ni kama kila kitu kimekufa alicho fanikiwa ni kupandisha bei ya bidhaa tu... wanyonge tujinyonge​
 
Huyo alishawaruhusu mawaziri na watumishi wake wale kwa urefu wa kamba zao. Ndio maana unaona mafisadi hapa Tanzania yana dunda dunda na kuserereka.
 
Mkuu, umefikisha ujumbe mzuri sana kwa lugha iliyopakwa asali!
Sidhani kama hayo uliyoshauri kama yatazingatiwa.
Vinginevyo, hili ni bandiko bora kabisa kwa kiongozi wetu Mkuu wa nchi.
Wengine hatukujaliwa kuwa na lugha tamu kama hii tunapoamua kusema ukweli
 
usikubari kuitwa Mama wanao kuita Mama awana nia njema kabisa na utawala wako WANAKUDANGANYA.
View attachment 2856362
kwenye nchi yetu hii iliyo jawa na Wanafiki, wafitini, wachonganishi na Waongo usikubari kisifiwa na sifa zikakulevya ni bora uchukiwe maana wale wote walichukiwa kwenye utawala wao baadae walikuja kupendwa.​
Naunga mkono hoja, Baada ya kutunukiwa PhD na kuwa Dkt. mnaonaje jina la "Mama" sasa tukaachana nalo ila Nyumbani wanaweza kuendelea kumuita Mama?

P
 
Mh Rais naomba nikupongeze kwa kazi nzito unayo ifanya ambayo inakugharimu Muda mwingine usilale ukihangaika huku na huko.

nakumbuka siku za hivi karibuni nilishawahi kukutana na msafara wako huko Kawe siku ya Jumapili saa 3 kuelekea 4 za usiku.

nilipo kuwa kwenye foleni ya kukungoja upite nilijisemea ama kweli Rais anateseka muda wa kupumzika yeye yupo barabarani hii yote ni kutokana na uzalendo mkubwa na Mapenzi mazito uliyo nayo kwetu Watanzania.

Mh Rais mimi kama mwananchi ambae katiba yetu inaniruhusu kutoa maoni yangu nimeona leo niitumie mwanya huo kukuagiza mambo ambayo ukiyafanya nitaamini kuwa wewe kweli ni mzalendo na usipo yafanya nitajua kuwa ulitingwa hivyo sito kulaumu bali nitazidi kukuombea kwani upendo wangu kwako ni mkubwa nadhani wewe mwenyewe unajua japo hunifahamu.

View attachment 2856367
kwenye nchi yetu hii mpaka leo hakuna mtu alievunja rekodi ya kuzungumzwa kwa wema kama hayati Mzee Nyerere. lakini bahati ikawa juu yetu Rekodi hiyo hivi karibuni ikavunjwa na aliekuwa Rais Mh John Joseph Pombe Magufuli {mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi} , ambae enzi ya utawala wake alizomewa lakini baada ya kifo chake walio mzomea walianza kumzungumzia kwa wema.
View attachment 2856338
kinacho sababisha hivi sasa kila sekunde lazima watu wamzungumzie Mh Magufuli ni kutokana na utawala wake ulio acha Alama kila sehemu lakini kikubwa enzi ya utawala wa magufuli aliamua kujikita kwenye jambo moja kikamilifu huku akifanya na mambo mengine.

Magufuli alijua kuwa watanzania tunashida ya Miundo mbinu haswa barabara kwa uzalendo mkubwa alihakikisha nchi nzima ina chimbwa pasipo pitika palipitika penye mto paliwekwa daraja njia ikapatikana ama kwa hakika Magufuli alituweza.

kupitia utawala wa Magufuli ninakuomba Mheshimiwa Rais ujifunze kitu na kwa bahati nzuri ulikuwa msaidizi wake na kwa wewe mwenyewe ulishawahi kukiri kuwa Magufuli ni mtu alie kuwa anapenda matokeo yanayoonekana. Watanzania wanaweza wakakupenda au wakakuchukia kutokana na jinsi utakavyo walea ama wahudumia,

Watanzania wanahitaji mambo yanayoonekana kwa macho leo hii ukimzungumza Rais mstaafu Mh. Jakaya Mrisho Kikwete kwa ubaya kwa masenior wa serikali waliopo awato kuelewa na wanaweza wakakupiga mawe kwani enzi ya utawala wa Kikwete japo pia alifanya mambo yanayoonekana na alimwaga Ajira.
View attachment 2856341
Kikwete alijua kutufurahisha ndio maana leo hii huwezi kumzungumza mh Kikwete kwa ubaya ukaeleweka, Mh Kikwete alijua nini Watanzania wanataka.

kwa muhtadha huo jukumu la kubaki midomoni kwa Watanzania kwa WEMA lipo mikononi mwako.

kama Magufuli aliweza kuchimba sehemu hadi zisizo chimbika pakachimbika, alibomoa sehemu zilizoshindikanika kubomolewa paka bomolewa na barabara ikapatikana.

Mh Rais Samia Suluhu Hassani unao muda wa kutuachia alama nzuri isiyo futika Watanzania wakakushukuru na kukupenda kama walivyo fanya watangulizi wako.

usiwasikilize wanao kuita Mama wewe sio mama ni Rais, wote tunajua sifa za kina mama wa kitanzania huwa na upendeleo kwa baadhi ya watoto je umeamua kuwa Rais mwenye upendeleo...? anae taka kukuita mama akufuate nyumbani na sio IKULU...!

ukiwa mama utaacha kuwachukulia hatua watoto wako watukutu maana wamama wengi huwa wanawapenda sana watoto wao haswa wale watukutu....!

usikubari kuitwa Mama wanao kuita Mama awana nia njema kabisa na utawala wako WANAKUDANGANYA.
View attachment 2856362
kwenye nchi yetu hii iliyo jawa na Wanafiki, wafitini, wachonganishi na Waongo usikubari kisifiwa na sifa zikakulevya ni bora uchukiwe maana wale wote walichukiwa kwenye utawala wao baadae walikuja kupendwa.

point
 
Nyakati

Nyakati zitapita, viongozi wabovu kama huyu wa sasa watapita lakini Tanzania itabaki. Watanzania amkeni hii ni saa ya kuikomboa nchi yetu kutoka kwa mkoloni mweusi
 
kupitia utawala wa Magufuli ninakuomba Mheshimiwa Rais ujifunze kitu
Chondechonde enyi mabaki ya jiwe sukuma gang)!! Samia ana mapungufu yake lkn msitake kumfanya aige ujinga wa jiwe. Jiwe zhakuwa kiongozi kabisa, alikuwa muuaji, mporaji, mtekaji, na mpiga risasi.

Samia ni bora kuliko jiwe mara milioni.
 
unae ndugu alietekwa na jiwe...? mimi binafsi nitafungua kesi kwa niaba ya familia yako...na hiyo kesi nitaisimamia mimi mwenyewe...ila nitahitaji uthibitisho tu wa huyo ndugu yako alie tekwa...!​
 
Nyakati

Nyakati zitapita, viongozi wabovu kama huyu wa sasa watapita lakini Tanzania itabaki. Watanzania amkeni hii ni saa ya kuikomboa nchi yetu kutoka kwa mkoloni mweusi
ni kweli kabisa lakini kwa uchawa uliopo wa kuikomboa hii nchi sijamuona...pengine tunatakiwa tumtafute kwa microscope 😭😭😭​
 
Mh Rais naomba nikupongeze kwa kazi nzito unayo ifanya ambayo inakugharimu Muda mwingine usilale ukihangaika huku na huko.

nakumbuka siku za hivi karibuni nilishawahi kukutana na msafara wako huko Kawe siku ya Jumapili saa 3 kuelekea 4 za usiku.

nilipo kuwa kwenye foleni ya kukungoja upite nilijisemea ama kweli Rais anateseka muda wa kupumzika yeye yupo barabarani hii yote ni kutokana na uzalendo mkubwa na Mapenzi mazito uliyo nayo kwetu Watanzania.

Mh Rais mimi kama mwananchi ambae katiba yetu inaniruhusu kutoa maoni yangu nimeona leo niitumie mwanya huo kukuagiza mambo ambayo ukiyafanya nitaamini kuwa wewe kweli ni mzalendo na usipo yafanya nitajua kuwa ulitingwa hivyo sito kulaumu bali nitazidi kukuombea kwani upendo wangu kwako ni mkubwa nadhani wewe mwenyewe unajua japo hunifahamu.

View attachment 2856367
kwenye nchi yetu hii mpaka leo hakuna mtu alievunja rekodi ya kuzungumzwa kwa wema kama hayati Mzee Nyerere. lakini bahati ikawa juu yetu Rekodi hiyo hivi karibuni ikavunjwa na aliekuwa Rais Mh John Joseph Pombe Magufuli {mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi} , ambae enzi ya utawala wake alizomewa lakini baada ya kifo chake walio mzomea walianza kumzungumzia kwa wema.
View attachment 2856338
kinacho sababisha hivi sasa kila sekunde lazima watu wamzungumzie Mh Magufuli ni kutokana na utawala wake ulio acha Alama kila sehemu lakini kikubwa enzi ya utawala wa magufuli aliamua kujikita kwenye jambo moja kikamilifu huku akifanya na mambo mengine.

Magufuli alijua kuwa watanzania tunashida ya Miundo mbinu haswa barabara kwa uzalendo mkubwa alihakikisha nchi nzima ina chimbwa pasipo pitika palipitika penye mto paliwekwa daraja njia ikapatikana ama kwa hakika Magufuli alituweza.

kupitia utawala wa Magufuli ninakuomba Mheshimiwa Rais ujifunze kitu na kwa bahati nzuri ulikuwa msaidizi wake na kwa wewe mwenyewe ulishawahi kukiri kuwa Magufuli ni mtu alie kuwa anapenda matokeo yanayoonekana. Watanzania wanaweza wakakupenda au wakakuchukia kutokana na jinsi utakavyo walea ama wahudumia,

Watanzania wanahitaji mambo yanayoonekana kwa macho leo hii ukimzungumza Rais mstaafu Mh. Jakaya Mrisho Kikwete kwa ubaya kwa masenior wa serikali waliopo awato kuelewa na wanaweza wakakupiga mawe kwani enzi ya utawala wa Kikwete japo pia alifanya mambo yanayoonekana na alimwaga Ajira.
View attachment 2856341
Kikwete alijua kutufurahisha ndio maana leo hii huwezi kumzungumza mh Kikwete kwa ubaya ukaeleweka, Mh Kikwete alijua nini Watanzania wanataka.

kwa muhtadha huo jukumu la kubaki midomoni kwa Watanzania kwa WEMA lipo mikononi mwako.

kama Magufuli aliweza kuchimba sehemu hadi zisizo chimbika pakachimbika, alibomoa sehemu zilizoshindikanika kubomolewa paka bomolewa na barabara ikapatikana.

Mh Rais Samia Suluhu Hassani unao muda wa kutuachia alama nzuri isiyo futika Watanzania wakakushukuru na kukupenda kama walivyo fanya watangulizi wako.

usiwasikilize wanao kuita Mama wewe sio mama ni Rais, wote tunajua sifa za kina mama wa kitanzania huwa na upendeleo kwa baadhi ya watoto je umeamua kuwa Rais mwenye upendeleo...? anae taka kukuita mama akufuate nyumbani na sio IKULU...!

ukiwa mama utaacha kuwachukulia hatua watoto wako watukutu maana wamama wengi huwa wanawapenda sana watoto wao haswa wale watukutu....!

usikubari kuitwa Mama wanao kuita Mama awana nia njema kabisa na utawala wako WANAKUDANGANYA.
View attachment 2856362
kwenye nchi yetu hii iliyo jawa na Wanafiki, wafitini, wachonganishi na Waongo usikubari kisifiwa na sifa zikakulevya ni bora uchukiwe maana wale wote walichukiwa kwenye utawala wao baadae walikuja kupendwa.

Anakunyali tu
 
Back
Top Bottom