Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songolo Mnyonge, amewataka viongozi wa CHADEMA kuacha chokochoko za kisiasa ambazo zinaweza kuhatarisha amani ya nchi, hasa kipindi hiki taifa linapoelekea kwenye...
Mjumbe wa Bodi ya wadhamini ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Mary Florian Joachim ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Ujumbe wa Chadema, nafasi ambayo ameitumikia kwa takribani miaka...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya Ukimwi, imeishauri Serikali kukamilisha mchakato wa kuandaa sheria itakayosimamia huduma ya uvunaji, utunzaji na upandikizaji wa chembechembe na...
Serikali imesema itaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo ambayo ilikuwa ikipata ufadhili wa kifedha kupitia taasisi za Marekani baada ya tamko la usitishaji wa misaada lililotolewa na Rais...
Wabunge wameibua shangwe baada ya kutambulishwa kwa Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, pamoja na Dk Magdalena Lyimo, mjane wa Dk Faustine...
Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima, leo Jumatatu Juni 02, 2025, aliitwa na Mwenyekiti wa Bunge kutoa swali kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila...
Pamoja na kasoro za hapa na pale ( ambazo si tatizo),kwakuwa hakuna mahali panakosa changamoto, bado CHADEMA ni nyumba bora na salaam zaidi kwa makuzi ya kisiasa na mahali pa kuonesha kwa uhuru...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche amesema chama hicho kimewaelekeza wanasheria wa chama hicho kumshitaki Msajili wa Vyama vya Siasa wakipinga kutenguliwa kwa viongozi walioteuliwa na...
Mpo Pouuwa!
Kwa mara ya kwanza jina Ponjoro nililisikia miaka hiyo ya 90 huko kijijini kwetu. Kulikuwa na chotara wa kiarabu na Kiswahili. Lugha ya mtaani ya kuwadhihaki watoto wa aina hii...
1. Mtu anaenasibisha uongozi wa Samia na uzanzibar au uislam.
Samia hatumii vifungu vya dini kufanya mambo yake, keanza mengi yapo kinyume na dini, pili wa Zanzibar nao pia ni wahanga wa CCM, ni...
Rais Samia ana Kofia mbili, kwanza ni Rais wa Nchi ili ni Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi(CCM). Huwa anaipenda sana CCM kiasi kwamba ukiongea kitu hasi kuhusu chama kilichompa Urais, unawezwa...
Mstaafu Kikwete ndo aliyeko hai hadi Sasa, Marais wengine washatangulia mbela ya haki
Mambo yanaenda kombo, tuko kwenye Giza Nene, na wewe Mstaafu umeshindwa kumshauri au kuiongolewa Tanganyika...
Tafadhari kila mmoja asambaze uzi huu Kila mahali kwenye Magroup ya WhatsApp na mitandandao ya Kijamii Nafahau Samia unaweza Kusoma taarifa, Washauri wanaomtakia mema Samia na Washauri wasiomtakia...
Allegedly’ anaitwa Musa Idi Mujema.
Ndo kapiga watu na hicho kifimbo chake. Sijui ni kifimbo cha mpingo au vipi, maana ni cheusi.
Huyu mtu yeye anaishi kwenye sayari ya Mushtara na huwa anakuja...
Rais wa Chama cha wanasheria Tanganyika TLS Wakili Boniface Mwabukusi amesema waliofunga kanisa la Ufufuo na Uzima ndio wanahusika na utekaji.
Soma > Serikali yalifutia usajili Kanisa la Askofu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.