Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mimi sielewi for sure. 70 years tumefanya nini? kama hali ni mbaya hivi. Kama basic infrastructure tumeshindwa kuzijenga
0 Reactions
5 Replies
274 Views
Mazoea sio kanuni Wala Sheria Lisu amewapa mawikili wake wakati mgumu Sana huku akiwapa washitaki wake point NYINGI Yawezekana walishajua mazoea yake ya kuongea kabla ya mahakama kuanza ...
0 Reactions
13 Replies
898 Views
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema amegusia suala la Gwajima na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan. Soma Pia: Rais...
23 Reactions
113 Replies
9K Views
Friends and Our Enemies, Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu. Ilikua ni utamaduni wake wa muda...
5 Reactions
91 Replies
3K Views
Death Squad A death squad is an armed group whose primary activity is carrying out extrajudicial killings, massacres, or enforced disappearances as part of political repression, genocide, ethnic...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
"Wananchi muwe macho mwaka huu wa uchaguzi mkuu; si kila anayelia nanyi ni wa kwenu. Wapo wanafiki wanaojificha kwenye joho la huruma, huku mioyoni mwao wakiwatoa ninyi sadaka kwa tamaa zao...
1 Reactions
67 Replies
2K Views
Mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka Kenya, Boniface Mwangi, ametoa simulizi ya kushtua na isiyo na kificho kuhusu masaibu aliyoyapata akiwa kizuizini nchini Tanzania, akieleza jinsi...
14 Reactions
114 Replies
10K Views
Sikujua ulipanda cheo kwa kiwango Gani Cha elimu Ila wewe ni AFISA hakika rungu sio silaha Yako tukufu kumpiga hasiye na silaha Jitokeze kesho omba radhi umekosea umezaliliwha cheo chako pambana...
3 Reactions
7 Replies
517 Views
Naangalia hapa Jamhuri wamepeleka maombi Mahakamani kuomba shauri la Lissu la uchochezi lisikilizwe kwa usiri yaaani Mashahidi ya Nyaraka visionekane kwa Wananchi. Kama una akili vizuri unaweza...
7 Reactions
9 Replies
825 Views
Mahakama imempa onyo Tundu Lissu na wenzake kwa kupiga kelele na kuleta vurugu baada ya Hakimu kuingia ndani ya Chumba cha Mahakama. Hakimu alipoingia Tundu Lissu alileta aliongea mahakamani kwa...
13 Reactions
110 Replies
6K Views
Johnson Mgwabati Mtaalaam mmoja wa sheria Albert Venn Dicey aliwahi kutafsiri dhana ya Utawala wa Sheria (Rule of Law) kuwa ni “kufuata sheria kama zilivyo.” Lakini bingwa mwingine wa masuala ya...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Sifa za kuwa askari Tanzania ni kujua kusoma na kuandika tu au kujua pia sheria , huwezi kupiga mtu kwa kwenda mahakamani tukasema wewe unajielewa. Huwezi kuwa na akili timamu kwa kupiga mtu au...
2 Reactions
8 Replies
585 Views
Omba Toba Sali Omba toba mkono wako wa kiume ulitumika kumtia mkeo mimba zote Omba msamaha kwa Ajili yake Tafadhali Bado unapendwa tuliza akili hacha siqeaa baba hata ulisema unitafte unitese...
0 Reactions
18 Replies
871 Views
Nauliza tu maana busara iko wazi kabisa kwamba Mbowe alipaswa kufuatilia kwa karibu sana kesi hii Au yupo mahakamani miye ndio sijamuona? Ukristo kazi sana bora wale Wenzetu waaminio kwenye...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma umetoa wito kwa Taasisi za dini ikiwemo BAKWATA, Baraza la Maskofu Tanzania kuwachukulia hatua baadhi ya Viongozi wa dini...
0 Reactions
6 Replies
444 Views
John Forteo, Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenenzi wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Ruvuma ameitaka Jamii na Vyama vya Siasa nchini kuhakikisha wanafuata sheria za nchi zilizowekwa . John Forteo...
0 Reactions
2 Replies
372 Views
Hakuna kitu Cha milele Dunia tunapita kitabaki milele ni milima. Kama imefikia hatua Katika nchi ya Amazonia dini zinafutwa kisa tu zinapinga utekaji na manyanyaso kwa raia basi hii sawa kabisa...
1 Reactions
1 Replies
254 Views
"Kujaribu kuishika Jamhuri kidevu na kuitekenya kwapani ni kama kumvisha jogoo soksi na kutegemea acheze ballet, utavunja heshima, na upate aibu😂😂😂." — Alloyce, P.R.
2 Reactions
44 Replies
1K Views
Sheikh Issa Ponda akizungumza na waandishi wa habari baada ya mazishi ya Sheikhe Jabir ambaye mwili wake ulikutwa porini akiwa amefariki, Sheikh Issa amehoji kuwa tunakuwa na taifa la aina gani...
9 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom