Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jana nilikuwa kijiwe kimoja hivi cha madalali wa nyumba na viwanja hapa Dar es Salaam. Watu walikuwa wanajadili kwa kina maswala ya usajili ya vilabu vya simba na Yanga. Ghafla mada ikabafilika...
11 Reactions
40 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Kijamii (CCK) David Mwaijojele amefika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dodoma na kuchukua fomu za kuwania Urais wa Tanzania Akiwa katika Ofisi za NEC...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Uamuzi huo ndiyo utakuwa mwanzo wa kuufanya upinzani kushinda Uchaguzi wa Mwaka huu. Kaijage shime shime kazana Jaji wangu - hakikisha Tundu Lisu hapiti. Kamanda Sirro nilikuelewa ulivyosema kuwa...
12 Reactions
41 Replies
3K Views
Kwa haya yanayotokea kwa watendaji kwenye uchaguzi huu, ni maandalizi ya nilichoandika hapo juu. Naomba uzi huu utunzwe hadi muda huo halafu tutaona. "NiombeenI niwe Rais wa malaika"
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu Watanzania hasa wa Dodoma Mjini. Chama kinachorudi upya kwa kasi NCCR Mageuzi, mgombea wake wa Urais wa JMT Bw Yeremia Kulwa Maganja atachukua fomu leo tarehe 11.08.2020. Bwa. Maganja...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Tanzania bara kuna jumla ya majimbo 214 ya uchaguzi na Zanzibar majimbo 50. Chadema imetangaza kuweka wagombea katika majimbo 163 sawa na 76% ya majimbo yote ya Tanzania bara. Hivyo basi...
7 Reactions
85 Replies
7K Views
WanaJF Dodoma Inazizima.Ndivyo tunavyoweza kusema kwa Sasa. Mapokezi kabambe yanamsubiri mgombea wa Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Antipass Lissu ambaye atachukua rasmi fomu Tume ya...
114 Reactions
448 Replies
42K Views
Nimefanikiwa kupitia mikoa zaidi ya saba bara tangu Lissu arejee nchini na kuonesha nia ya dhati ya kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, nimekutana na watu wengi lakini jambo kubwa...
32 Reactions
110 Replies
8K Views
Habari kubwa kwenye magazeti ya Leo ni kauli aliyoitoa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kuwapiga mkwara mzito, wagombea wa vyama vya upinzani kuwa wasitumie majukwaa ya kisiasa katika kipindi hiki...
41 Reactions
114 Replies
10K Views
Hayawi hayawi sasa imekuwa hatimaye Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu achukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Tanga Mjini. WanaTanga Mjini hatuwezi kukubali kazi kubwa uliyoifanya iende buree...
10 Reactions
59 Replies
8K Views
Kwa kinyongo cha Serikali hii hadi kuvitishia na ama kuvizuia Vyombo vya Habari kutangaza habari za za Tundu Lissu inabidi CHADEMA wabadili upepo wao wakati wa kampeni. Helkopta itumike kidogo -...
17 Reactions
34 Replies
4K Views
RaisMagufuli umejitahidi Sana kwenye ujenzi wa miundombinu, na kurejesha nidhamu kwenye utumishi wa umma na kiasi fulani kupunguza rushwa "ndogondogo". (Rushwa kubwa kubwa imeongezeka Sana)...
19 Reactions
107 Replies
7K Views
Ahadi za ACT Wazalendo Jamhuri ya Muungano ZITATEKELEZWAJE? 1. Elimu ya Juu: Kufuta mikopo yote ya miaka ya nyuma iliyotolewa kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu na kuanza kutekeleza Mfumo mpya wa...
26 Reactions
60 Replies
6K Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba yule mtu aliyesubiriwa kwa hamu na Watanzania , ameanza ule mchakato muhimu . Taarifa zinaonyesha kwamba maombi ya watanzania yamejibiwa baada ya Mh Lissu...
95 Reactions
341 Replies
28K Views
Dhambi nyingine ni za kujitakia tu, KC Zitto unaamini kabisa BKM amekuja ACT wazalendo ili amuunge mkono mgombea wa CHADEMA? Hiyo unaweza kuwadanganya watoto wadogo lakini sisi tulioshiriki...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kila kona ya nchi na dunia kwa ujumla wanasema Tundu Lisu ndiye mwenye nafasi ya ushindi ktk Uchaguzi wa mwaka huu. Na ndiyo maana hata jana 8/8/2020 alipokuwa akichukua fomu pale jijini Dodoma...
18 Reactions
98 Replies
9K Views
Inachekesha Sana kwamba Kama nchi tuna chombo Cha kupambana na Rushwa Ila Hadi Leo tunavyoongea Hakuna mtia Nia wa chama chochote aliyepelekwa mahakamani kwa tuhuma za kugawa Rushwa ingawa Rushwa...
10 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari wadau, Nimeona niseme jambo kuwa vyama vya upinzani Tanzania vyote vipo kimaslahi zaidi; hamna chama kipo ili kimtumikie mwananchi. Na kama kweli wapo ili kumtumikia mwananchi kwa yale...
2 Reactions
10 Replies
927 Views
Back
Top Bottom