Uchaguzi 2020 Mgombea wa Chama Cha Kijamii (CCK) David Mwaijojele afika NEC kuchukua fomu za Urais wa Tanzania

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Mwenyekiti wa Chama Cha Kijamii (CCK) David Mwaijojele amefika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dodoma na kuchukua fomu za kuwania Urais wa Tanzania

Akiwa katika Ofisi za NEC, Mgombea huyo ameahidi watafanya Siasa za kistaarabu na kusema vipaumbele vya CCK ni kuihudumia jamii

Mwaijojele amekabidhiwa fomu hizo na Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage

1597133979637.png


 
Back
Top Bottom