Uchaguzi 2020 Kutokana na kunyongewa Vyombo vya Habari, Tundu Lissu kampeni zaidi ya nyumba kwa nyumba inahitajika

Tila-lila2

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
653
1,058
Kwa kinyongo cha Serikali hii hadi kuvitishia na ama kuvizuia Vyombo vya Habari kutangaza habari za za Tundu Lissu inabidi CHADEMA wabadili upepo wao wakati wa kampeni.

Helkopta itumike kidogo - lakini basi la Nyalandu na gari ndogo zinazoweza kupenya vijijini kwenda nyumba kwa nyumba ndiyo zifanye kazi.

Itakuwa furaha sana siku Tundu Lissu akifika hapa Idukilo. Kwa kweli aje tu ajaribu hata dakika 20 tu atapata kura kama zote!

Waache watumie maTV yao sisi Tundu Lissu tufikie live. Jaribu kufika hata makao makuu ya tarafa tu - utaona matokeo yake!

Tchao!
 
Amekatazwa Na Nani
Tume Ya Uchaguzi Inasimama Katikati Kila Chama Kipate Haki
 
Waoga sana CCM, haitasaidia kitu zaidi ya kujinajisi
 
This is the only strategy! Kanda pangeni timu za nyumba kwa nyumba! Chademadigital sambaza taarifa kwa wanachama kwenye database yenu Mwanahabari Huru
Nia yetu ni moja tuuu, ni kuitoa ccm maana

1:Nia ya kuitoa ccm tunayo!

2: Uwezo wa kuitoa ccm tunao!

3: Sababu za kuitoa ccm tunazo!

Kilichobaki sasa ni kuitoa!
 
Usijitoe ufahamu muhusika ni MBOWE na dereva wa lisu JPM Hana shida na takataka hiyo,akitaka hata saivi anampoteza wakazi gani kwanza?
Hahaha, serikali yako ya JPM imuache tu?? Akili za vijana wa lumumba hovyo kabisa, huna totauti na wale wapuuzi wenzio walioshindwa kujenga choo tu, kule Rufiji.
 
Back
Top Bottom