Uchaguzi 2020 Yeremia K Maganja Mgombea Urais kwa NCCR Mageuzi kuchukua fomu leo 11.08.2020

kibarango

Senior Member
Sep 6, 2014
146
308
Ndugu Watanzania hasa wa Dodoma Mjini.

Chama kinachorudi upya kwa kasi NCCR Mageuzi, mgombea wake wa Urais wa JMT Bw Yeremia Kulwa Maganja atachukua fomu leo tarehe 11.08.2020.

Bwa. Maganja akiongozana na mgombea mweza Bwa. Ambari, viongozi waandamizi na watendaji wa makao makuu ya NCCR mageuzi watachukua fomu hiyo majira ya saa 5 asubuhi katika jengo la uchaguzi house.

Kwa wale Watanzania wapenda Maendeleo na Utu mnaweza kufuatilia tukio hili kwenye mitandao ya chama cha NCCR MAGEUZI

ASANTE.
IMG-20200810-WA0035.jpeg
IMG-20200809-WA0092.jpeg
 
Kuna watu hua wasindikizaji tu, em chukulia mfano tuseme jamaa kama huyu tumpe kura zote leo hii ashinde urais, kesho yake si ataachia ngazi aseme nampa jiwe huu urais mi umenishinda, au atakimbiilia kugawia ndugu zake wote vyeo kama yule tako wa zambia alichofanya. Watu wawe serious sio kugombania tu
 
Back
Top Bottom