Uchaguzi 2020 Mwenyekiti na Mkurugenzi NEC, Wakurugenzi wa Wilaya (wasimamizi) kuzikimbia ofisi zao 2020

Duniahadaa

JF-Expert Member
Oct 16, 2017
284
1,000
Kwa haya yanayotokea kwa watendaji kwenye uchaguzi huu, ni maandalizi ya nilichoandika hapo juu.
Naomba uzi huu utunzwe hadi muda huo halafu tutaona.

"NiombeenI niwe Rais wa malaika"
 

tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
31,793
2,000
Hilo linaeleweka, halafu viongozi wanaoingia madarakani kwa kuchezea box la kura ndio wanajifanya watapambana na rushwa!
 

Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
3,048
2,000
CCM wanaichezea "AMANI" ya nchi yetu. Waliochukua "FORM" za kugombea upinzani wamepigwa mapanga.
tapatalk_1572558122207.jpeg
tapatalk_1572558116784.jpeg


Mkuu wa wilaya ya "HAI" ametaka kupiga mtu na "BASTOLA".
 

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
17,392
2,000
Kwa haya yanayotokea kwa watendaji kwenye uchaguzi huu, ni maandalizi ya nilichoandika hapo juu.
Naomba uzi huu utunzwe hadi muda huo halafu tutaona.

"NiombeenI niwe Rais wa malaika"
Wee nani amekuambia...
Basi tutaweka askari wetu wa jeshi watavaa kiraia wasimamie wao
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom