Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni
MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za...
Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya Chadema Mhe. Tundu Lissu akiwasalimia mamia ya wananchi katika Mji wa Shelui, Jimbo la Iramba, leo Jumanne Agosti 11, 2020 waliosimama barabarani na kumzuia kwa...
Leo nina furaha sana. Nina furaha kwa Lissu kuteuliwa na Chama chake.
Ninaamini sasa tutakuwa na uchaguzi. Watanzania wengi wamefurahi wamepata mtu wa kuwafuta machozi kutokana na kifungo...
Kuna member mmoja alidai wanafunzi wote wanamuunga mkono Lissu, lakini ukweli wenyewe ni huu hapa.-
Wanafunzi wametoa msimamo kuelekea uchaguzi Mkuu 2020, Msimamo wao ni kuwa wanaungana na...
Salama.
Kiukweli nawaonea huruma CCM chama cha siasa kwa namna wanavyohangaika huku na huko kutafuta mapenzi kwa wapiga kura kwa gharama kubwa sana na wananchi kuwashawishi pasipo maana.
CCM...
Nawasalimu wana JF, Poleni na Majukumu.
Baada ya salamu naomba niwasilishe uchambuzi wangu mfupi kwenu juu ya vuguvugu la siasa linaloendelea kwa sasa wakati tunapoelekea Oktoba 28, Nitagusia...
Amani iwe nanyi wadau!
Ni dhahili kuwa mwaka huu 2020, Hatimaye Tanzania kwa mara ya kwanza tumepata Chama ambacho kina Sera sahihi za kutupeleka kwenda kwenye nchi tunayoitaka. Yaani” Tanzania...
Nimeona onyo la Msajili wa vyama akiwaonya CHADEMA kwa kitendo chao cha kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka mengine.
Mwanzo sikuchukulia serious, lakini kitendo cha kuona kuwa kumbe ni...
Kosa moja la kiufundi linaloweza kufanywa na Kamati Kuu ya CCM (CC) na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) na kupelekea jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro ni kumpitisha mgombea ubunge aliyegushi...
Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Prof.Ibrahim Haruna Lipumba atapokelewa kesho agosti 13,2020 akitokea jijini dodoma kuchukua fomu ya NEC.atapokelewa ubungo na viongozi wakuu wa...
Mada inahusika.
Wapinzani wanalazimika kufanya kampeni za kisayansi sana. Tayari CCM ina mtaji wa NEC, ZEC, Polisi, Wasiri wetu na makada kadhaa.
Mfumo wa nchi unawapendelea zaidi wao na ule...
MBWEMBWE ZA MAALIM MWISHO OCTOBER
Wanasiasa wote wenye historia Safi ya kushindwa huwa na ushamba Fulani hivi wa kushabikia nyomi la watu.
Kuthibitisha hili taenda na mifano hai kabisa tena...
Kuna baadhi ya kata zilitakiwa kurudia kura za maoni za uteuzi wa madiwani. Mojawapo ya Kata ni ile ya Ulemo ambayo Dkt. Mwigulu Nchemba alihakikisha iwe isiwe Diwani aliyekuwepo asiongoze tena...
Wasalaam,
The same Scenario ya 2015 nimeshangaa sana inajirudia kwa kasi Watu wako wanajadili namna ya wagombea wakipokelewa mikoani kwa umati mkubwa.
CHADEMA mna cha kujifunza uchaguzi wa Mwaka...
Hii labda kwa sababu ya akili yangu mbumbumbu,sina taarifa au picture ya kilichotokea mwaka 2015-2020 perception yake naiona vibaya? Au kwa sababu nimehisi dhamira za wenye nguvu ziko kinyume na...
Wanachama wa vyama vya siasa nchini leo wanaanza kuchukua fomu za uteuzi kuomba kugombea ubunge na udiwani wakati wa Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu.
Hivi karibuni Tume ya Uchaguzi Tanzania (NEC)...
Tangu TUNDU LISSU achaguliwe na chama chake cha CHADEMA kuwania urais wa Jamhuri ya Tanganyika wamejitokeza waswahel washauri wanaomfuatilia kwa karibu mno na kujaribu kushauri kindezi kabisa ama...
MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali (IGP), Simon Sirro, amewaonya wanasiasa walioanza kuonyesha shari kupitia matamshi na sura zao kuelekea uchaguzi mkuu.
IGP Sirro alizungumzia...
CCM hoyee. Magufuli Safi.
Niende kwa Mada moja kwa moja. Mpaka sasa hakuna Raia yeyote yule anayebisha viwango vya Rais Magufuli ni vya kimataifa katutoa from zero hero, Leo watanzania nasi...
Ni kwamba CCM na Dkt. Magufuli tayari wana mtaji wa kura walizopata 2015 na watafaidika na kurejea kwa mzee Lowassa ambaye ana ushawishi mkubwa. Kura za CCM zitaongezeka.
CHADEMA na Tundu Lissu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.