Uchaguzi 2020 Malalamiko ya kura za maoni za uteuzi jimbo la Iramba umesababishwa na Dkt. Mwigulu

Mnambua

JF-Expert Member
Jan 6, 2020
246
233
Kuna baadhi ya kata zilitakiwa kurudia kura za maoni za uteuzi wa madiwani. Mojawapo ya Kata ni ile ya Ulemo ambayo Dkt. Mwigulu Nchemba alihakikisha iwe isiwe Diwani aliyekuwepo asiongoze tena. Mengi yalifanyika kuhakikisha hilo linafanikiwa.

Binafsi niliandika barua kwa uongozi wa Wilaya na Mkoa kuelezea yale niliyoyashuhudia ya Dkt. Mwigulu kugawa fedha huku akitumia watu wake wa karibu kama Diwani wa Kata ya Kyengege na yule hawara wake wa huku kijijini Dayana ambaye alikuwa Diwani wa Viti Maalum huku wakilitumia lile pick-up lao.

Kama uongozi wa Mkoa na Wilaya na nakala Taifa hautafanyia kazi barua yangu basi nitahakikisha mimi na wengine wote uchaguzi huu kumpigia mgombea mwingine. Jana Tundu Lissu amenikosha kwa maneno yake alipotusemesha akiwa njiani kuelekea Shinyanga. Sio mbaya tukampigia yeye na Chama chake ili kumpunguzia kura huyu Mwizi na Tapeli Dkt. Mwigulu.
 
Back
Top Bottom