Uchaguzi 2020 Hesabu hazidanganyi: CCM wataongezewa kura za Lowassa na CHADEMA watapunguziwa kura za Lowassa, CUF na NCCR Mageuzi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,895
141,827
Ni kwamba CCM na Dkt. Magufuli tayari wana mtaji wa kura walizopata 2015 na watafaidika na kurejea kwa mzee Lowassa ambaye ana ushawishi mkubwa. Kura za CCM zitaongezeka.

CHADEMA na Tundu Lissu watazikosa kura za CCM ( kupitia Lowassa) walizopata 2015 kadhalika watazikosa kura za UKAWA yaani Cuf na Nccr mageuzi

ACT Wazalendo itavuna kura za CUF hasa mikoa ya Kusini na Zanzibar kadhalika itaambulia kura chache za CCM kutoka kijiji cha Londo jimboni Mtama.

Kwa mahesabu ya haraka Dkt. Magufuli tayari ana mtaji mkubwa wa kura ukilinganisha na wagombea wengine ambao wote ni wageni wa uchaguzi mkuu ukimtoa mzee Hashimu Rungwe Spunda.

Niishie hapo!

2020 hakunaga kama Dkt. Magufuli!
 
Watu wa usalama wote tunawajua fanyeni Kazi kwa nchi sio matumbo yenu
 
Ni kwamba CCM na Dkt. Magufuli tayari wana mtaji wa kura walizopata 2015 na watafaidika na kurejea kwa mzee Lowassa ambaye ana ushawishi mkubwa. Kura za CCM zitaongezeka.

CHADEMA na Tundu Lissu watazikosa kura za CCM ( kupitia Lowassa) walizopata 2015 kadhalika watazikosa kura za UKAWA yaani Cuf na Nccr mageuzi

ACT Wazalendo itavuna kura za CUF hasa mikoa ya Kusini na Zanzibar kadhalika itaambulia kura chache za CCM kutoka kijiji cha Londo jimboni Mtama.

Kwa mahesabu ya haraka Dkt. Magufuli tayari ana mtaji mkubwa wa kura ukilinganisha na wagombea wengine ambao wote ni wageni wa uchaguzi mkuu ukimtoa mzee Hashimu Rungwe Spunda.

Niishie hapo!

2020 hakunaga kama Dkt. Magufuli!
Usisahau kuwa Magufuli pia atazikosa kura nyingi alizozipata mwaka 2015. Wapo wanaCCM ambao hawatampigia kura, kuna wafanyakazi walionyanyaswa hawatampa kura. Kuna wakulima wa mikoa ya kusini na nyanda za juu kusini, hawatampa kura. Kuna wahitimu wa vyuo wanaohangaika mitaani bila kazi, kuna wanafunzi waliokosa mikopo, kuna kanda zilizotengwa kwenye utawala wa awamu hii - huko kote Magufuli atakosa kura nyingi. Kuka waliopatwa na tetemeko, kuna waliobomolewa nyumva kwa uonevu, kuna wale waliompa kura 2015 bila kujua kuwa awamu hii kutakuwa na watu wasiojulikana ambao kazi yao ni kuua, kuteka, kutesa na kubbikia kesi wote wanaoihoji au kukosoa Serikali na watawala - hao wote hawatampa kura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nani kakwambia Lowassa anaushawishi mkubwa,hiyo ilikuwa 2015.kwa sasa akigombea hata udiwani hapati.
Mkitegemea kura kwa Lowassa basi hesabu yake na yamkewe tu.na anaweza akawatosa vilevile kwani kapenda kuwa pale....
Mtaani hakuna anayemjua Lowassa kwa sasa ni Lissu tu ni Yeye.
 
Umesahau wastaafu wanao dai mafao miaka 2-3 sasa. Wengine wamefariki kabla ya malipo na familia zina machungu.
 
Hii tunaelezwa jinsi watakavyo manoeuvre kura za ushundi
 
Ngoma inogile
 
Yani mtaji kwa CCM hivi sasa ni Lowasa! Si ndege ,Flyovers ,vituo vya Afya duh!
hatari hii haha.
CCM mjipange asee yani miaka yote ya kuongoza Tanzania mtaji ni Lowasa? Haha.
 
^Wafanyabiashara
^Wahitimu was vyuo vikuu/Kati
^Vyeti fake
^Wazee wastaafu
^Ccm kulialia/Asilia
^vijana
Hzi zote n kura amabazo mgufuli na kijani anajua anazikosa.
 
Umesahau wastaafu wanao dai mafao miaka 2-3 sasa. Wengine wamefariki kabla ya malipo na familia zina machungu.
Hii ni mbaya zaidi, na hata nauli za kurudi makwao baada ya kustaafu pia hawajalipwa. Nawafaham wauguzi kadhaa waliokuwa wanafanya kazi Jiji la Tanga ambao wamestaafu toka Juni 2019 mpaka leo hawajalipwa nauli za kurudi kwao na wanaishi nyumba za kupanga. Pensheni bado, mafao bado.
Hawa pia watapunguza kura.
 
Back
Top Bottom