Uchaguzi 2020 Kwa Ilani hii ya CHADEMA, CCM jiandaeni kuwa wapinzani baada ya kuanzia Oktoba 2020

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
13,226
26,048
Amani iwe nanyi wadau!

Ni dhahili kuwa mwaka huu 2020, Hatimaye Tanzania kwa mara ya kwanza tumepata Chama ambacho kina Sera sahihi za kutupeleka kwenda kwenye nchi tunayoitaka. Yaani” Tanzania Dream”

Ni dhahili pia kuwa baada ya sera za kijamaa za CCM zilizotufanya kuwa mafukara kwa karibu miaka 59 tangu uhuru sasa zimepata Sera mbadala za kutukomboa kweli na kuleta ustawi sahihi kwenye nchi yetu. Sera hizi ni za uchumi huru wa kuruhusu sekta binafsi kuendesha uchumi wa nchi

Ni dhahili pia kuwa baada ya miaka 59 ya kutawaliwa huku tukilishwa ujinga na upumbavu na CCM sasa nchi yetu inaenda kuwekewa mfumo sahihi wa maendeleo utakaofanya kila sehemu kuwa na maendeleo no matter kiongozi wa iyo sehemu anatoka Chama gani

Kusema kweli nimeshawishiwa na hizi Sera za Chadema, Nimeshawishiwa na Mgombea wa Chadema Tundu Antipas Lissu.

Dawa ya umasikini na ujinga wa watanzania sasa imepatikana rasmi.

Hongereni sana Chadema.

SASA NI RASMI, Tumepata “TANZANIA DREAM”

A0DD572E-7EFB-437C-9B9F-980E161387DA.jpeg
D51D85AD-F27B-4256-903D-810CAE768D04.jpeg
26D45157-4D20-4D3C-B8A2-A7BBF02E15B6.jpeg
CAD58DD1-D8CE-4128-A9DB-46A51146754B.jpeg
7F8AC304-B302-46E3-966A-4E21EA348CCC.jpeg
E4E439A7-307B-4342-BD8B-0F50E8528C7C.jpeg
 

Attachments

  • 459DA432-E6C1-4AC5-831B-5061C9F9A2B4.jpeg
    459DA432-E6C1-4AC5-831B-5061C9F9A2B4.jpeg
    74.7 KB · Views: 1
Saafi sana, kuna waganga njaa wata-comment hata kabla ya kusoma na kuelewa
Chadema wamenifurahisha sana. Hiki ndo Watanzania tulikuwa tunakitaka sio huu upuuzi anaotuletea magufuli wa serikali kuharibu biashara na Ndo mana saivi suala la ajira limekuwa Tatizo kubwa sana Tanzania.

Sekta binafsi inachochea ubunifu, sekta binafsi inachochea kukua kwa ajira na Pia inachochea ushindani unaoleta ubora wa huduma na bidhaa.

Twendeni na Chadema kwa “Tanzania Dream”
 
Ni ilani nzuri ila vyote tayari tingatinga amefanya na ambavyo bado tunamchagua tena avimalizie.
Hongereni kwa kujaribu tuonane 2025
Huyo tingatinga wenu kafanya nini zaidi ya kudiscourage sekta binafsi??? Kuwa frustratie sekta binafsi hadi wanakimbia???

Hukuona alivyowafukuza wafanyabiashara wa korosho na kuwanyang’anya korosho kupitia jeshi??!
 
Haitawasaidia, ACT ina impact Zanzibar sio Tanzania bara. Membe na CCM ndo wanapoteza,!Membe atapunguza kura za Magufuli na sio Tundu Antipas Lissu mpakwa mafuta wa Bwana!!
Ccm 3m chadema 2m, membe 2m. Hapo in kama chadema ikipata 4m. Ccm wana akili ya kubaki madarakani.
 
Amani iwe nanyi wadau!

Ni dhahili kuwa mwaka huu 2020, Hatimaye Tanzania kwa mara ya kwanza tumepata Chama ambacho kina Sera sahihi za kutupeleka kwenda kwenye nchi tunayoitaka. Yaani” Tanzania Dream”...
hizi sera zimegusa maendeleo ya watu
 
Back
Top Bottom