Uchaguzi 2020 Habib Mruma: Mgombea wa CCM mwenye shahada feki

mwanasiasa

New Member
Dec 24, 2007
2
0
Kosa moja la kiufundi linaloweza kufanywa na Kamati Kuu ya CCM (CC) na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) na kupelekea jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro ni kumpitisha mgombea ubunge aliyegushi shahada yake ya sheria.

Huyu ni Habib Mruma aliyeshika nafasi ya tatu ambaye Baraza la Seneti la chuo Kikuu Mzumbe katika mkutano wake wa 67 uliofanyika tarehe 25 Novemba 2016 liliamua avuliwe Shahada ya Sheria (LLB) aliyotunukiwa katika mahafali ya 12, mwaka 2013.

Uamuzi huo wa Seneti ulifikiwa baada ya uchunguzi kuthibitisha kwamba kada huyo wa CCM aligushi baadhi ya matokeo yake ya kitaaluma ambayo yalimuwezesha kutunukiwa shahada hiyo ambayo ilifutwa.

Read More > Habib Mruma: Mgombea wa CCM mwenye shahada feki - Imevuja!
 
Back
Top Bottom