Uchaguzi 2020 Nitashangaa kama bado kuna Watanzania watawapa kura Upinzani

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
CCM hoyee. Magufuli Safi.

Niende kwa Mada moja kwa moja. Mpaka sasa hakuna Raia yeyote yule anayebisha viwango vya Rais Magufuli ni vya kimataifa katutoa from zero hero, Leo watanzania nasi tunaheshimika kati ya nchi ya Ulimwengu huu leo ukisema wewe ni Mtanzania sehemu yoyote lazima watu wakupe heshima.

Heshima imerudi hata kwa mataifa karibu nikizungumzia East African.

Hatupo mbali sana na uchaguzi itakuwa ni Kituko tena cha karne kama kuna Mtanzania atadamka asubuhi na mapema na kupiga foleni akisubiri kuchagua upinzani binafsi nitamshangaa mnoo

Rais Magufuli atashinda kwa kura za kishindo i mean ushindi wa Kishindo ambao haujawah Kutokea.

Ni wapi ambapo Rais wetu hajagusa! Nenda kwenye Afya, Nenda kwenye Elimu, Nenda kwenye viwanda, Nenda kwenye Nidhamu, Nenda kwenye Covid 19, kwenye Miundombinu ndipo usiseme kabisa. Mapato hewalaa kila mahali kagusa na matokeo chanya yakionekana mapema kabisa.

Uchaguzi wa mwaka huu wapinzani watakuwa wasindikijazi tena wa harusi wanashiriki kukamilisha ratiba. Laiti ningekua wao nisingejaribu hata kidogo kushindana na jabali la Afrika na Dunia Magufuli,Good enough

Watanzania kwa sasa tumeelimika mno hatudanganywi na Siasa Uchwara za Upinzani kwa kifupi tumewagundua.

Upinzani unaenda kufa unaenda kufa tena kifo kibaya mnoo.

Tuonane Oktoba.
 
Cha ajabu hapo kwenye afya, vituo vya afya 5,000 vimejengwa na kukarabatiwa nchi nzima lakini hakuna ajira za afya zilizotoka sasa sijui zinahudumiwa na malaika.

Kwanini hamu wenu wazi namba ya vituo vipya vilivyojengwa na vilivyokarabatiwa?
 
Sijakuelewa ndugu Mjumbe naona kama umejiuliza swali halafu ukajijibu. Ni Nani kaenda Hosp/Hc/disp kakutwa imefungwa kwamba hakuna wahudumu? kila kitu ni Priority wacha tujenge kwanza halafu next time ni kumwaga ajira tena uzuri zaidi hakuna kada imeongoza kwa kutoa ajira kama Afya.
 
Eti Ccm Imeajiri watendaji wa vijiji kuliko walimu ,Watanzania Tunakubali vijana wetu wanasoma kwa shida wanategemea Ajira lakini Ccm ajira hazipo Tangu mwaka 2015.
Kiongozi unaelewa maana ya Vipaumbele/Sera?
Leo watendaji wamekua ni Sehemu muhimu sana kwenye ukusanyaji wa mapato,Tena nashukuru umesema IMEAJIRI WATENDAJI kumbe na Kuajiri bado inaajiri
Bravo Ccm
 
Sijakuelewa ndugu Mjumbe naona kama umejiuliza swali halafu ukajijibu.Ni Nani kaenda Hosp/Hc/disp kakutwa imefungwa kwamba hakuna wahudumu?kila kitu ni Priority wacha tujenge kwanza halafu next time ni kumwaga ajira tena uzuri zaidi hakuna kada imeongoza kwa kutoa ajira kama Afya.
Mwambieni kwanza mwenye kiti wenu Atoe Ajira kwanza watu wapo fungu mtaani . Mwaka huu hana sera yote ameshindwa
 
Hakuna mkulima, mfanyabiashara, mfanyakazi au mwanafunzi anaweza kupigia kura ccm.........Hawa wote wamejeruhiwa na kupotezwa na ccm......

CHADEMA ipo kwenye mioyo ya watu wkt ccm ipo kwenye mioyo ya polisi, tume ya uchaguzi na msajili wa vyama vya siasa
 
Wakati wanajisifu kuwa na ongezeko la wanafunzi baada ya kukwapua sera ya Chadema ya elimu bure, hapo hapo hakuna ajira za walimu zilizotoka.
Ndio maana nikasema watanzania wa leo sio Mbumbumbu Wanajua A to Z dhidi ya nchi yao mbona walimu wa Sayansi wameajiriwa wengi tu.
 
Kiongozi unaelewa maana ya Vipaumbele/Sera?
Leo watendaji wamekua ni Sehemu muhimu sana kwenye ukusanyaji wa mapato,Tena nashukuru umesema IMEAJIRI WATENDAJI kumbe na Kuajiri bado inaajiri
Bravo Ccm
Kwa hiyo Mmeajri vitu vya kipumbavu tu na ccm imechagua makada tu.Kenya wenzetu walichapana saizi heshima imetawala mwaka huu hatukubali
 
Wewe unayeendelea kiamini CCM lazima unatumia akili ya kushikiwa. Wengine wote tunasubiri Tundu Antipas Lissu wachukie nchi
Acheni Kujidanganya ndg wajumbe kwa sera zipi hizo za upinzani za kupinga kila kitu.Sio kwa Watanzania wa 2020
 
Muulize aliyewafungia wasifanye mikutano miaka 5 atakwambia...anajua nguvu zao..
Hahahaa Wapinzani mnatapa kweli kweli mnafanya Siasa Nyepesi Mnoo,Kifupi mmeishiwa hakuna Jipya toka Upinzani
 
Back
Top Bottom