Uchaguzi 2020 Hongera Tundu Lissu. Watanzania wamepata wa kuwafuta machozi

Wajumbe

Senior Member
Jul 26, 2020
136
500
Leo nina furaha sana. Nina furaha kwa Lissu kuteuliwa na Chama chake.

Ninaamini sasa tutakuwa na uchaguzi. Watanzania wengi wamefurahi wamepata mtu wa kuwafuta machozi kutokana na kifungo, minyororo, na mateso ya miaka mitano.

Hongera sana.

Nimemuona Lissu halisi. Mungu akulinde na akupe ujasiri. Ni muda sasa wa kupimana nguvu na uwezo wa uongozi.
 

Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
6,730
2,000
Je ugonjwa wa "ukondoo wa nyerere" uliokatika mioyo yetu watanganyika utapata tiba? Stay tuned!!!!
 

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
5,512
2,000
Mungu ana kusudi Maalumu na Tundu Lissu
Watu lazima wamwogope Mungu
Kutoka kuokolewa toka UMAUTI na kuwa HAI Hadi kugombea URAIS WA TANZANIA NA KUSHINDA....!!!
Safari ya TUNDU ANTIPAS LISSU kwenda Ikulu imeanza..!
Ushauri kwa ACT WAZALENDO(Zitto, Maalim Seifu na Membe) ni wakti wa kuungana na Lissu ili kuepuka kugawana kura na KUWAFANYA CCM Washinde kirahisi kwa simple majority !
Tusiruhusu hii kitu please🙏
 

nygax

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,082
2,000
Huu si muda wa kumkabidhi mtu Tanzania yetu eti kwa kumpima uwezo wake wa uongozi. Nchi hii tayari tunakiongozi ambaye atasindikizwa tu na wengine kuelekea ktk uchaguzi ili kutimiza matakwa ya katiba.
Piganieni tu majimboni kwenu.
 

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
5,512
2,000
Huu si muda wa kumkabidhi mtu Tanzania yetu eti kwa kumpima uwezo wake wa uongozi. Nchi hii tayari tunakiongozi ambaye atasindikizwa tu na wengine kuelekea ktk uchaguzi ili kutimiza matakwa ya katiba.
Piganieni tu majimboni kwenu.
Acha kupiga propaganda weye.....!!
Hivi 2015 Kuna mtu alijua kuwa Jiwe angelikuwa mgombea Urahisi na kushinda?????
 

damper

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
479
500
Meko ataoneshwa mlango wa kutokea awamu hii.

Hawezi kuendelea kudharau watanzania. Tutamwonesha kwamba hii nchi si mali yake bali ni mali ya watanzania wenyewe.
Magufuli ni namba nyingine sio wakushindanishwa na huyu dogo. Kama mbabe Lowasa alikaa itakuwa huyu shoga !!
Uchaguzi mwepesi sana huu 2020, CCM haijawahi kushinda kirahisi kama mwaka huu, amini nakwambia.
 

LIMBOMAMBOMA

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
7,164
2,000
Magufuli ni namba nyingine sio wakushindanishwa na huyu dogo. Kama mbabe Lowasa alikaa itakuwa huyu shoga !!
Uchaguzi mwepesi sana huu 2020, CCM haijawahi kushinda kirahisi kama mwaka huu, amini nakwambia.
Acha kufananisha lissu na vitu vya kijinga.Yaani lissu alingane na lowasa, lowasa alikuwa bubu yule.ruhusu mdahalo Wa lissu na jpm uone wewe
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom