Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Aliyekuwa meya wa ubungo Jacob Boniface amesema kuwa mwanachama wa CCM aitwaye Athuman Abdallah Sudi amechukua fomu za kugombea Ubunge kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo kwa jina la CHADEMA...
9 Reactions
130 Replies
18K Views
Ni jambo lililo wazi kwamba hawa watu wawili wana mengi yanayofanana na kukinzana. Wote ni public figures na wanasiasa tofauti ni kwamba mmoja ni rais wa nchi na mwingine ni mwanasiasa...
23 Reactions
115 Replies
10K Views
Wakuu, mwanzo nilidhani kuwa Uchaguzi huu utakuwa Uchaguzi mwepesi sana kwa CCM, nilidhani kuwa CCM itaenda kimteremko na nikafikia kutaka kukataa kwenda kufanya update zangu za kadi ya uchaguzi...
16 Reactions
37 Replies
4K Views
Tupate Maoni, tujitambue, tujuane 1. Hapa Kazi Tu (CCM) 2. Kazi na Bata (ACT) 3. Kazi na Uhuru (CHADEMA) Kazi bila mapumziko Ni tabu, mapumziko bila kazi ni umasikini. Wewe Ukowapi katika hizo?
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Ni ukweli uliowazi Sasa kwamba mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ni kama amewameza wagombea wenzake na hawasikiki tena. Tangu ateuliwe na chama chake CHADEMA na kisha kuchukua fomu za...
72 Reactions
154 Replies
15K Views
Mzee Butiku alikuwepo kwenye awamu zote, yupo na atakuwepo Mungu akipenda. Inaelekea kuwa Mzee Butiku anafahamu mengi kuhusu mambo ya chaguzi zetu na mambo ya tume zetu hizi za uchaguzi kwa miaka...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Mpaka sasa tumejionea jinsi uchaguzi utakavyokua unahitaji akili nyingi, kuanzia kwenye mchakato wa kura za maoni. Hawa watu wanne ndio wanaotarajiwa kuongoza kampeni za Upinzani 2020. Si watu wa...
1 Reactions
0 Replies
711 Views
Salaam Wakuu, Hii hali ya kujiona CHADEMA ndo Baba lao kwenye vyama vya Upinzani, inaumiza watu wanaounga mkono Upinzani. Nimesikitika kuona CHADEMA wanaweka Mashariti magumu kwa vyama Vingine...
15 Reactions
154 Replies
10K Views
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali la hoja za kisheria, wanasheria wetu humu, tusaidieni, kufuatia Tundu Lissu kufutwa ubunge kwa kosa la kukiuka maadili ya uongozi wa umma, na kosa hilo ni a...
33 Reactions
186 Replies
20K Views
Hiyo ni Mikumi, Morogoro siku ya jana akiwa njiani kuelekea Iringa.
47 Reactions
138 Replies
14K Views
Salaam Wakuu, Kama ilivyotabiriwa na wengi imekuwa. Zaidi soma; Uchaguzi 2020 - CHADEMA wavurugana Jimbo la Kilombero. Pamoja na kushika namba 2 kura za maoni, Bilionea Shillah achukua fomu ya...
1 Reactions
48 Replies
9K Views
Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora Mjini Mhe. Mirambo Camill amekabidhiwa fomu ya uteuzi na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Tabora Mjini mapema leo
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mteuliwa wa CHADEMA Ndugu Tundu Lissu asifurahie sana anapoona wingi wa watu wakijitokeza kumuona kwani endapo atapitishwa na Tume ya Uchaguzi kuwa mgombea kamili wa kiti cha Urais akipita tena...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Naona wanachama wa CCM wenye roho ngumu wameamua kufunguka waziwazi kama kinachotokea hapa Dodoma kuanzia leo na kuendelea hasa wale wanaokatwa bila sababu za msingi. Hali hiyo inaweza kuwafanya...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu kwema! Siku ya uzinduzi wa kampeni, siku ambayo Mh. Tundu Antipas Lissu atatema madini adimu bila kumung'unya maneno. Mimi binafsi nitahudhuria, umati utakaoshuhudiwa siku hiyo utakuwa...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Wanachama wa CCM wakiwemo Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji wa Kata ya Bwambo Wilayani Same, Kilimanjaro wameandamana kumpinga mgombea aliyeshika namba 2 kwenye kura za maoni na kupitishwa na...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Mgombea Rais wa Chadema, Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Iringa mjini, waliojitokeza kumdhamini kwa kuweka saini zao kwenye fomu zake, leo Jumanne, Agosti 18, 2020. UPDATES...
58 Reactions
147 Replies
16K Views
HABARI Mgombea Ubunge Jimbo la Ilala kupitia CUF, mhe. Rashid Mwinyishehe Ilala amefika ofisi za msimamizi wa uchaguzi na kuchukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Ilala
8 Reactions
19 Replies
3K Views
1. Anaijua sheria ataongoza taifa kwa misingi ya haki 2. Hana tamaa ya mali, hatokimbilia kujenga mahekalu kwa na kiwanja cha ndege cha kimataifa kijijini kwao Mahambe, hawezi, hawezi hubadili...
32 Reactions
74 Replies
5K Views
Nimekumbuka Uchaguzi Mkuu Oktoba 2015 wazee wetu walivyotutahadharisha kukisaidia chama tawala, sipendezwi binafsi kuwatumia wazee wetu kwenye kampeni kwa ajili ya kuokoa jahazi mkifanikiwa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom