Uchaguzi 2020 Nimesikitishwa na ubinafsi wa CHADEMA katika mkakati wa wapinzani kusimamisha mgombea mmoja

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,505
54,978
Salaam Wakuu,

Hii hali ya kujiona CHADEMA ndo Baba lao kwenye vyama vya Upinzani, inaumiza watu wanaounga mkono Upinzani. Nimesikitika kuona CHADEMA wanaweka Mashariti magumu kwa vyama Vingine kuunganana as if wana haki miliki na wapiga kura.

Mbowe alisema lengo ni kuiondoa CCM madarakani, kwanini leo watu wagombanie fito wakati lengo lao moja?

ACT wapo tayari kwa Ushirikiano ila sio kuonekana wapo chini ya chama fulani.

Wanasiasa wa Sera mbadala, kama watampa nafasi Mwenyekiti wa CHAUMA Mheshimiwa Hashim Rungwe awashauri na kuweka Mikakati ya kuungana, watafanya Vizuri sana.

Chonde chonde CHADEMA chini ya Mbowe, kuweni na Moyo uliopondeka na wenye kupenda Umoja bila kiburi.

Mkikataa Ushirikiano, mtachakazwa na CCM hadi Mshangae. Sababu vyama vya upinzani mtagawana gawana kura za wafuasi wenu walio wengi.

TANZANIA hakuna chama Kidogo. ACT haina hata miaka 10 lakini inaonekana sawa na zaidi ya vyama vyenye miaka zaidi ya 20
 
Upinzani wote tu kuanzia Act, Chauma, CDM ni wabinafsi na wako kuisaidia ccm itawale kiurahisi kwa kuhadaa umma. Wote ni Kama kenge hawasikii mpaka watoke damu
Tatizo tulilo nalo sisi wanachama wa hivi vyama ni kuvitazama kwa nje tu wala hatujisumbui kuchimba na kuona chimbuko la chama husika ni wapi au ni upi.

Amini nawaambia ukweli kuwa kuna baadhi ya vyama ni kichaka cha watu wa usalama ( kitengo) wapo kwenye hicho chama ili kuudanganya umma tu.
 
Salaam Wakuu,

Hii hali ya kujiona CHADEMA ndo Baba lao kwenye vyama vya Upinzani, inaumiza watu wanaounga mkono Upinzani. Nimesikitika kuona CHADEMA wanaweka Mashariti magumu kwa vyama Vingine kuunganana as if wana haki miliki na wapiga kura.

Mbowe alisema lengo ni kuiondoa CCM madarakani, kwanini leo watu wagombanie fito wakati lengo lao moja?

ACT wapo tayari kwa Ushirikiano ila sio kuonekana wapo Chini ya chama Fulani.

Wanasiasa wa Sera mbadala, kama watampa nafasi Mwenyekiti wa CHAUMA Mheshimiwa Hashim Rungwe awashauri na kuweka Mikakati ya kuungana, watafanya Vizuri sana.

Chonde chonde CHADEMA chini ya Mbowe, kuweni na Moyo uliopondeka na wenye kupenda Umoja bila kiburi.

Mkikataa Ushirikiano, mtachakazwa na CCM hadi Mshangae. Sababu vyama vya upinzani mtagawana gawana kura za wafuasi wenu walio wengi.

TANZANIA hakuna chama Kidogo. ACT Haina hata miaka 10 lakini inaonekana sawa na zaidi ya vyama vyenye Miaka zaidi ya 20

Tatizo sio vyama kuungana bali ni tume ya uchaguzi, nashauri vyama visiungane ili kuachiana nafasi, bali viungane kwa agenda za pamoja kama kudai katiba mpya, kudai uhuru wa kidemokrasia. Haya mambo ya kuungana huwa yana mwisho mbaya na kuishia kuchafuana tu.

Kimsingi hivi vyama vina falsafa tofauti, ni vyema wakaungana kwa baadhi ya agenda, maana tumeona yaliyotokea baada ya vyama kuwepo kwenye umoja wa Ukawa. Wapiga kura wengi hawana vyama, kwanini ionekane kura za wapinzani tu ndio zinagawanyika, ila za ccm hazigawanyiki?
 
Na ninyi wapambe wa Chadema kama Chadema hamna data (takwimu) za kujivunia kwamba mtaweza kuchukua dola kivyenu. Mkijipa matumaini 'feki' kuwa mna nguvu ya kupigana kivyenu mtashindwa uchaguzi (uraisi na ubunge maeneo nyeti) asubuhi na mapema. Zaidi mnatembelea nyota ya Lissu kurudi Tz hadi sasa na mikusanyiko ya watu wakati wa kutafuta wadhamini.

Na Lissu ni msomi na anajua umuhimu wa ushirikiano na ameshauongea kwenye hotuba zake........ Sioni jinsi Chadema inaweza kushinda huu uchaguzi bila ushirikiano na ACT ili kupata kura za kutosha sehemu mikoa kama Kigoma, mikoa yote ya pwani na kusini mwa Tanzania, Zanzbar na miji mikubwa kama Dar na kadhalika......
 
Salaam Wakuu,

Hii hali ya kujiona CHADEMA ndo Baba lao kwenye vyama vya Upinzani, inaumiza watu wanaounga mkono Upinzani. Nimesikitika kuona CHADEMA wanaweka Mashariti magumu kwa vyama Vingine kuunganana as if wana haki miliki na wapiga kura.

Mbowe alisema lengo ni kuiondoa CCM madarakani, kwanini leo watu wagombanie fito wakati lengo lao moja?

ACT wapo tayari kwa Ushirikiano ila sio kuonekana wapo chini ya chama fulani.

Wanasiasa wa Sera mbadala, kama watampa nafasi Mwenyekiti wa CHAUMA Mheshimiwa Hashim Rungwe awashauri na kuweka Mikakati ya kuungana, watafanya Vizuri sana.

Chonde chonde CHADEMA chini ya Mbowe, kuweni na Moyo uliopondeka na wenye kupenda Umoja bila kiburi.

Mkikataa Ushirikiano, mtachakazwa na CCM hadi Mshangae. Sababu vyama vya upinzani mtagawana gawana kura za wafuasi wenu walio wengi.

TANZANIA hakuna chama Kidogo. ACT haina hata miaka 10 lakini inaonekana sawa na zaidi ya vyama vyenye miaka zaidi ya 20
Chief we mgeni na hao, watu wanafightia majimbo, ruzuku ndugu yangu. We hujui maalim sef ni mtaji mkubwa kwa zitto? Zito amejihakikishia Pemba, hata chadema wakijitia hivo, dogo anauhaka wakuwa chama kikuu cha upinzani. Mjumbe hauawi
 
Salaam Wakuu,

Hii hali ya kujiona CHADEMA ndo Baba lao kwenye vyama vya Upinzani, inaumiza watu wanaounga mkono Upinzani. Nimesikitika kuona CHADEMA wanaweka Mashariti magumu kwa vyama Vingine kuunganana as if wana haki miliki na wapiga kura.

Mbowe alisema lengo ni kuiondoa CCM madarakani, kwanini leo watu wagombanie fito wakati lengo lao moja?

ACT wapo tayari kwa Ushirikiano ila sio kuonekana wapo chini ya chama fulani.

Wanasiasa wa Sera mbadala, kama watampa nafasi Mwenyekiti wa CHAUMA Mheshimiwa Hashim Rungwe awashauri na kuweka Mikakati ya kuungana, watafanya Vizuri sana.

Chonde chonde CHADEMA chini ya Mbowe, kuweni na Moyo uliopondeka na wenye kupenda Umoja bila kiburi.

Mkikataa Ushirikiano, mtachakazwa na CCM hadi Mshangae. Sababu vyama vya upinzani mtagawana gawana kura za wafuasi wenu walio wengi.

TANZANIA hakuna chama Kidogo. ACT haina hata miaka 10 lakini inaonekana sawa na zaidi ya vyama vyenye miaka zaidi ya 20
Fanya kama hujaona mkuu, mambo mengine Ni marefu kuzidi hayo masikio yako.

Utalinganishaje CDM na CHAUMA? Unataka wamsimamishe Mr Spunda? Kuwa serious kidogo.
 
Back
Top Bottom