Uchaguzi 2020 Kibamba: CHADEMA wadai Mwanachama wa CCM amechukua fomu ya kugombea Ubunge kwa jina lao

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,975
Aliyekuwa meya wa ubungo Jacob Boniface amesema kuwa mwanachama wa CCM aitwaye Athuman Abdallah Sudi amechukua fomu za kugombea Ubunge kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo kwa jina la CHADEMA.

Jacob amesema hii ni mara ya pili Mkurugenzi huyo anaihujumu CHADEMA kwa kutumia barua fake.

Jacob ameripoti haya katika akaunti yake ya twitter.


Jacob.JPG



Maendeleo hayana vyama!
 
Aliyekuwa meya wa ubungo Jacob Boniface amesema kuwa mwanachama wa CCM aitwaye Athuman Abdallah Sudi amechukua fomu za kugombea ubunge kwa mkurugenzi wa manispaa ya Ubungo kwa jina la CHADEMA.

Jacob amesema hii ni mara ya pili Mkurugenzi huyo anaihujumu CHADEMA kwa kutumia barua fake.

Jacob ameripoti haya katika akaunti yake ya twitter.


Maendeleo hayana vyama!
Kwani majina ya wagombea ubunge wa CCM yameshatoka?
 
Kwani nani aliyechaguliwa na chama kupeperusha bendera huko? Jukumu la katibu mkuu kufatilia zaidi
 
Kisheria ipoje? inawezekanaje mwanachama wa chama kingine kuchukua fomu kwa jina la chama kingine, Wakati Mkurugenzi wa uchaguzi anazo taarifa za wagombea wote na vyama vyao? hapa Imechukuliwa fomu kwa jina la Chama Kikuu Chadema je kuna hasara gani Chadema kitazipata?
 
Back
Top Bottom