Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,013
- 144,371
Hiyo ni Mikumi, Morogoro siku ya jana akiwa njiani kuelekea Iringa.
Ndio mjue siku zote huwa mnashinda kwa wizi/ hila na si vinginevyo.Mwisho wa siku Magufuli ataapishwa, Lisu anabaki kuwa makamu mwenyekiti wa chadema,
Ona haya mafuriko na maelfu ya watu enzi za dr Slaa 2010
View attachment 1540660View attachment 1540661View attachment 1540662View attachment 1540663
Nlikuwa nakuzibua tu hizo akili kwamba mafuriko si lolote!Ndio mjue siku zote huwa mnashinda kwa wizi/hila na si vinginevyo.
hakika MkuuHakika kuna Nguvu ya Mungu(Power of Nature) iliyo nyuma ya Lissu.
Ndio hawa waliokuwa wanasema upinzani/CHADEMA imekufa!!!nje ya mada
Ona haya mafuriko na maelfu ya watu enzi za dr Slaa 2010
Usisahau kampeni zenyewe bado, hao wananchi wamejipanga tu barabarani ili wamuone kiongozi wao.Aibu yenu na mchutame tu wajinga nyie!!Eti upinzani umekufa!Nlikuwa nakuzibua tu hizo akili kwamba mafuriko si lolote!
Mkuu jiandae kupambana na Lissu jukwaani, Kaijage kakataa maagizo ya CCMHasira gani tena!?, huo ni moto wa magazeti. Mwisho wake ni jumanne wiki ijayo. Najua utarudi hapa na thread kibao huku umefura na ID tofauti tofauti.
Mkuu atakayeapishwa ni JPM, mwaka 2015 tulibet nikawapiga ela nyingi, waliamini Lowassa atakuwa Rais, mwaka huu bado natafuta ajipendekeze akiamini Lissu anaweza kuwa Raisi. Iwe mvua iwe jua, Lissu hawezi kuwa Rais wa nchi hii, na soon pesa ya kampeni inakata.Mkuu jiandae kupambana na Lissu jukwaani, Kaijage kakataa maagizo ya ccm
kwa sababu ya elfu 7 unaamini Katika pesa !Mkuu atakayeapishwa ni JPM, mwaka 2015 tulibet nikawapiga ela nyingi, waliamini Lowassa atakuwa Rais, mwaka huu bado natafuta ajipendekeze akiamini Lissu anaweza kuwa Raisi. Iwe mvua iwe jua, Lissu hawezi kuwa Rais wa nchi hii, na soon pesa ya kampeni inakata.
Lowassa na kujiandaa kote September katikati 2015 alianza kuomba michango, Lissu hata pesa za uzinduzi wa kampeni sijui kama zitakuwepo. Hakuna mtu atakayewekeza kwa mtu ambaye tayari kashafeli.
The burning spear...!!!!
Sawa tajiri wa kwanza duniani anayeshinda mitandaoni. Niliwahi kukwambia nyie ndo huwa mkimiliki Brevis au Kluger, na kumiliki nyumba moja Mwanjelwa Mbeya mnaanza kujitangaza matajiri.mimi sihitaji elfu 7
Mungu kesha onyesha mkono wake kupitia Kumponya Lisu ila binadamu bado tu wa bishi tunacho subiri kingine ni laana na mateso ndio tunazidi kujifunika Makanisani kinafiki muda utajibu naona Uislamu kama umestukia kinacho endeleaMungu kasimama upande wa LISSU hata wakusanye wapiga manyanga Mungu yuko kwa LISSU TU
Pamoja na Ubunge na kuchangia hoja vizuri kila iitwapo siku Mh Zito aliweza kusoma vitabu zaidi ya mia tano kwa mwaka kushinda mtandaoni isikupe shidaSawa tajiri wa kwanza duniani anayeshinda mitandaoni. Niliwahi kukwambia nyie ndo huwa mkimiliki Brevis au Kluger, na kumiliki nyumba moja Mwanjelwa Mbeya mnaanza kujitangaza matajiri. Narudia hakuna tajiri duniani anayeshinda mitandaoni. Hata mmiliki wa Facebook ni tajiri Ila humkuti Facebook akipost 24/7 Kama wewe humu JF. Kitendo cha kukesha jukwaa la siasa ukiamini Lissu atakuwa Raisi tayari kinakuondolea sifa za kuwa tajiri. Automatically unakuwa mtegemea miujiza. Na hakuna tajiri hata mmoja anayetegemea miujiza.
Rais anaechaguliwa kimya kimya ni mwiziNlikuwa nakuzibua tu hizo akili kwamba mafuriko si lolote!
Vitabu 500 kwa mwaka ni sawa na vitabu 42 kwa mwezi, sawa na vitabu 10 kwa wiki. Na wewe unaamini hii story ya kusadikika ya Zitto!??, Hivyo vitabu vina page ngapi mpaka mtu asome vitabu zaidi ya 10 kwa siku 7?, Kumbe ndo maana mnadanganywa kirahisi na wanasiasa.Pamoja na Ubunge na kuchangia hoja vizuri kila iitwapo siku Mh Zito aliweza kuoma vitabu zaidi ya mia tano kwa mwaka kushinda mtandaoni isikupe shida