Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge jimbo la Ilala kupitia CUF, Rashid Mwinyishehe Kingwendu amekabidhiwa fomu ya uteuzi na msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ilala

CUF Habari

JF-Expert Member
Dec 12, 2019
239
234
Screenshot_20200819-161352.png

HABARI Mgombea Ubunge Jimbo la Ilala kupitia CUF, mhe. Rashid Mwinyishehe Ilala amefika ofisi za msimamizi wa uchaguzi na kuchukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Ilala


IMG_20200819_165228_091.jpg
 
Afu nyie mnaeza mkadhani Comedy kumbe mwenzenu yupo serious, embu mchekini na simu yake hapo ni kama anamtafuta pro pesa kwenye list ya majina....
 
Back
Top Bottom