It's about damn time. Relying on Kenya to export our produce and bring us tourists has been and always will be a very bad idea. Now lets see Kilimanjaro Airport renovated and expanded to...
Date::1/18/2009
Kikwete kupangua baraza la mawaziri?
Exuper Kachenje
Mwananchi
RAIS Jakaya Kikwete huenda akalazimika kufanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri kama hatua ya...
Amos Makala awashukia Mbowe na Dr Slaa kwa ufisadi
Mweka hazina wa CCM Amos Makala ameendelea na mkakati wake mahiri wa kuisafisha CCM. Leo katika mkutano wake na wanachuo wa IFM ameisafisha...
Mnyika atafutwa na polisi mkoani Mbeya
Na Felix Mwakyembe, Mbeya
VIONGOZI wawili waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), jana walikamatwa na Jeshi la Polisi, mkoani Mbeya...
Viongozi wa CUF kuchaguliwa Feb 23-27
Salim Said
MWENYEKITI atakayeongoza Chama cha Wananchi (CUF) kwa kipindi kingine atajulikana mwezi ujao wakati baraza kuu la uongozi la chama hicho...
Rostam Aziz kugeukia Waislamu, Kuibua wengine CHADEMA
Nilisema hapa miezi mingi nyuma kuwa Rostam kumtumia Chacha Wangwe kuibomoa CHADEMA. Watu wakasema nasema udaku. Leo CHADEMA ineshavikwa...
Ngawaiya: Simuombi radhi Ndesamburo
Na Mwandishi Wetu
MWENYEKITI wa Taasisi ya Utawala Bora na Maendeleo (Cegodeta), Thomas Ngawaiya amesema hayuko tayari kumuomba radhi na kumlipa fidia ya...
Niliwahi kuandika siku za nyuma mkakati mzima wa Rostam na ule wa Gachuma. Na katika kuandika nikamtaja na mtu mmoja aliyeitwa Mariam Chacha Wangwe. Niliacha kuendelea kuandika kwa heshima ya...
Katika uchunguzi wa Ernst and Young kuhusiana na ufisadi wa EPA
katika mwaka 2005/2006 iligunduliwa kiasi cha shilingi bilioni 133
ziliibwa na kuwanufaisha mafisadi. Inawezekana kabisa kama...
Mwandishi Wetu
Daily News; Friday,January 16, 2009 @20:00
JESHI la Polisi mkoani Shinyanga limegundua mafuvu 40 ya binadamu na mifupa mingine katika shimo chini ya mti wa mbuyu.Taarifa...
Date::1/16/2009
Kwa masharti haya UDSM ni wabaguzi
Mwananchi
MWISHONI mwa mwaka jana wanafunzi wa shahada ya kwanza kutoka vyuo vikuu saba vya umma nchini, walisimamishwa masomo kutokana na...
Yule kijana msomi mchakapakazi, Amosi Makala amefanikiwa mpaka sasa kumzidi kete mpinzani wake Suleman Sadiq "Murad". Bwana Makala ambaye amefanikiwa kujijengea jina Mvomero kutokana na uadilifu...
Death toll alongside
1. Second World War - 20 million +
2. First World War - 8.5 million
3. Korean War - 1.2 million
4. Chinese Civil War (1945-49) - 1.2 million
5. Vietnam War - 1.2...
Ni wazi kuwa kama hali ya kisiasa itaendelea kama ilivyo sasa huku watawala wakiendelea na imani potofu kuwa CCM ni Tanzania na Tanzania ni CCM, ipo siku nchi yetu itafika walipofikia makamarade...
Wakuu hii imekaaje kama wameanza kupigana wenyewe kwa wenyewe? Kuna watu wana hatimiliki ya majimbo?
Mbunge CCM amtwanga konde M'kiti UV-CCM
Na Mussa Juma, Monduli
MBUNGE wa jimbo la Simanjiro...
Nataka tuwapambanishe Mwenyekiti mpya wa UWT, Sophia Simba na Mkurugenzi mpya wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA(BAWACHA), Mama Naomi Kaihula.
Tupitie walipopita tuone nani anaweza kuongoza...
2009-01-17 08:19:00
Fears ahead of UDSM reopening
By Beatus Kagashe
THE CITIZEN
Fears are mounting of possible demonstrations by students who have not yet been recalled to public...
Wanabodi
Naomba kwa mwenye habari zaidi atufahamishe kuhusu hili.
Katika taarifa ya habari ya jana (3 Novemba 2008) saa mbili usiku, na leo asubuhi (04 Novemba 2008), kituo cha ITV...
Yasema ni wababaishaji wasio na agenda
:: Yawahusisha Zitto, Kiwelu na watuhumiwa EPA
:: Wao wakiri kuwa na undugu na wanaotuhumiwa
:: Mbatia naye awataja kuwa ni waongo wa hoja
Benedict...
Kambi rasmi ya upinzani kuvunjika hivi karibuni. Hatua hiyo inatokana na msuguano kati ya CHADEMA na CUF. Wadadisi wa mambo wanasema kwamba kwa kanuni za bunge zinasema kwamba chama au ushirikiano...