The good news is JK will soon relenquish the AU leadership... maybe now he will concentrate more on what is happening in TZ
AU Bars Mauritania, Guinea; Condemns Pending ICC Warrant for Bashir...
FAUSTINE KAPAMA
Daily News; Wednesday,January 28, 2009 @21:15
A prosecution witness told a court in Dar es Salaam yesterday, how he was shocked after his clients became billionaires shortly...
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wlaya ya Kishapu, Elly Mlaki, ameangua kilio ndani ya kikao cha Baraza la madiwani wa halmashauri hiyo, baada ya kushindwa...
Well... ndani ya mwaka mmoja tunaweza kuwa na Waziri Mkuu mwingine aliyejiuzulu? Well.. wapinzani inaonekana wanataka iwe hivyo. Wengi wamefikia hilo baada ya kusoma makala ya The Citizen la leo...
Siri ya wizi mkubwa Richmond
Mwandishi Wetu Januari 28, 2009
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
Watimka na mabilioni ya walipa kodi
Walichotewa kabla hata ya kazi
WAKATI Waziri...
KAMPUNI ya Usambazaji Maji kwa Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani, Dawasco, imekata maji katika Hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam kwa kujiunganishia maji kiholela.
Hoteli hiyo imekuwa ikitumia...
Kesho siku ya Jumapili kuanzia majira ya saa saba za mchana (EST) sawa na saa tatu za usiku (Saa za Afrika ya Mashariki) tunatarajia kuwa na mahojiano na Dr. Harrison Mwakyembe Mbunge wa Kyela na...
SIKU moja baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutangaza matokeo yanayoonyesha asilimia 65 ya wapigakura wote kutojitokeza, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimejigamba kuwa...
WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikishinda ubunge wa Jimbo la Mbeya Vijijini, chama hicho kimeshindwa katika viti vya udiwani katika Kata za Machinjioni Kigoma Ujiji Kigoma na Mnyawa Tandahimba...
Gazeti la Mwanahalisi huenda likajikuta tena matatani kwa kufungiwa kama ilivyokuwa awali baada ya toleo jipya la 28 Jan.-Feb.3, 2009 kuchapisha habari kama zile za awali kuhusu baadhi ya...
Chama cha demokrasia na maendeleo kimeshindwa vibaya katika uchaguzi wa udiwani kati ya kati mjini Arusha.
Katika uchaguzi huo CCm ilipata ushindi mkubwa wa zaidi ya 68% uku CHADEMA ikiambulia...
Wizara ya Habari kupitia Idara yake ya Maelezo imesimamisha Usajili wa magazeti kwa sababu ambazo mpaka sasa hivi hatuzijui.
Tofauti na Kenya ambako unaweza kuanzisha gazeti halafu baadaye...
CCM imeshindwa vibaya na CHADEMA katika uchaguzi wa udiwani wa kata ya machinjiano. Kwenye kata hiyo, CCM iliweka kambi kwa siku 30 na viongozi mbalimbali wa kitaifa wa chama hicho walikwenda...
Mini-budget plan to be moved in Tanzania Parliament
Share Bookmark Print Email Email this article to a friend
Friend's Email Address
Your Email
Message
Submit Cancel...
Ikiwa mara ya kwanza tangu awe raisi wa taifa kubwa kiumbo, kubwa kiuchumi kuliko zote dunia, kubwa kijeshi, raisi Obama jana alihutbia press conference. katika press conference hiyo Obama...
Bila ya kuyaweka majina ya waliorudisha mapesa hayo na kiasi walichorudisha na pia pesa hizo zimewekwa Bank gani, sitaamini kwamba hata senti tano ilirudishwa huu ni usanii wa hali juu.
The...
EDITORIAL: Let MPs express their views freely on matters of public importance
EDITOR
THIS DAY
DAR ES SALAAM
THE 14th parliamentary session begins in Dodoma today to deal with some...
Scholarship to honour leader of Tanzania
Date: 27 January 2009
A NEW Julius Nyerere Scholarship at Edinburgh University will commemorate the life of Tanzania's first president.
In 1949...
Dar road works at risk as WB bans 3 firms
The three companies, which are involved in multimillion-dollar road and bridge construction works in the country, have already been handed letters to...