MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi mkoani Kagera, imemhukumu Meneja wa Shirika la Posta tawi la Biharamulo mkoani Kagera, Claud Masali (52), kifungo cha miaka 250 baada ya kupatikana na makosa 50.
Hukumu...
Jana wakati nafuatilia tukio zima la ujambazi katika Bank ya NMB tawi la Temeke {katika Luninga ITV nikiwa Bar} Kuna kauli za baadhi ya viongozi na watendaji wetu ziliamsha manung'uniko kwa...
Badala ya kijenga barabara ili ziweze kupitika, Wananunua magari makubwa (heavy duty vehicles) ili kuwawezesha kupita katika barabara hizo mbovu. Bila kuangalia kuwa kuhudumia magari hayo ni...
Mbunge wa viti maalum, Halima Mdee, amewatoa 'knock out' Makamba na Londa, ambao walilazimika kuondoa malalamiko yao kwa Spika wa Bunge dhidi yake Mbunge huyo kutokana na kauli yake (Mdee)...
Jamani hii imekaaje?
Jamani Viongozi wa Ikilu imefikia wakati wa kumsaidia Rais kumshauri kwa mambo yanayotokea ya ufisadi badala ya kuendelea na propaganda na hekaya za Abunwas na kumpaka mafuta...
Bunge letu kama taasisi limetangaza nafasi za kazi mbali mbali hivi karibuni.
Kilichotokea nafasi hizo zilikuwa na watu maalum wameandaliwa. Moja ya masharti kama kuwa HANSARD REPOTER lazima uwe...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limemkana askari wake, koplo Julius Abraham Kwayu, ambaye alidaiwa kuhusika katika tukio la ujambazi lililotokea Julai 24 mwaka huu, Manzese jijini...
Inapata mwaka na nusu sasa toka taasisi isiyo ya kiserikali iliyokuwa inatowa huduma kwa jamii ife kabisa , inasemekana hosea, hausika kwa tuuma za kufirisi taasis hiyo kwa vile uchukua muda...
Nadhani watz hakuna budi kukuvali mapema kwamba mh kikwete ataibuka na ushindi wa sunami 2010 baada ya kuonekana mtendaji mzuri hasa huu uhuru aliotuachia.lkn swala la wabunge kijinafasi bungeni...
Designer colonialism of sorts
Adam Lusekelo, 30th July 2009 @ 00:22,
OF course, ours is a free country. Got our independence from the Her Majestys Service men in 1961. Nice going it has been...
I have taken Prime Minister Pinda's "opinion" on a single government of Tanzania with keen interest. I am of the opinion that that was the idea that our founding fathers, Nyerere and Karume had in...
Tunajua ukitaka kuua nyoka piga kichwa.
Kwa nini Jakaya ambae ndie kiini cha kila kitu na mtatuzi tegemewa wa matatizo ya watanzania huwa yuko so protected, watu wanaogopa kumdiscuss?
Hivi...
Date::8/1/2009
Bunge laibana mbavu serikali utekelezaji mazimio Mgodi wa Makaa Kiwira
Na Habel Chidawali,Dodoma
Mwananchi
BUNGE limeitaka serikali kuhakikisha kwamba inatekeleza maazimio ya...
Wana JF mara nyingi tumekuwa tukishuhudia kupitia luninga zetu namna bidhaa feki zinavyo haribiwa. Tumekuwa tukiona TV pamoja na vifaa vya elektroniki vikipondwapondwa na mabuldoza na watu...
Why are our public schools so miserable?
Makwaia wa KUHENGA, 31st July 2009
IN the old good days, those who went through schools owned by the government, or as known those days -- ‘native...
Mwanangu kwa sababu friji ni mashine maalumu ya kutengeneza barafu.Sio swali la kijinga tena siku hizi! kwani naweza tena kuulizwa na mwanangu......
Na kwanini ndani ya CCM kuna mafisadi...
je kweli tanzania inaelekea wapi?mafisadi ndio wakuu wa nchi.serikali nayo inawalinda..sasa hivi madhamini wengi wanajitoa kwenye udhamini wa nchi kwa mambo mawili.kwanza fedha zitaibiwa au...
Jana niliwahi kurudi home nikawa na angalia kipindi cha Bunge kupitia TBC kuna mbunge mmoja wa Ludewa nafikiri Mh. Mwalyosi alitaka apewe Ambulance katika jimbo lako kwani ipo moja kwa jimbo...