Inquisitive: Baba kwanini kwenye friji kuna barafu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inquisitive: Baba kwanini kwenye friji kuna barafu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Waberoya, Jul 31, 2009.

 1. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #1
  Jul 31, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,566
  Likes Received: 3,861
  Trophy Points: 280
  Mwanangu kwa sababu friji ni mashine maalumu ya kutengeneza barafu.Sio swali la kijinga tena siku hizi! kwani naweza tena kuulizwa na mwanangu......

  Na kwanini ndani ya CCM kuna mafisadi?

  Mwanangu ni kwa sababu CCM ni mtambo maalum wa siku nyingi wa kutengeneza mafisadi. Watu wanaingia safi na kuishi,kufanywa, kubadilishwa na kuwa mafisadi aidha kwa kujua au pasi kujua-kwani maji yanajua nini?.Watateteana maana huwa hawaamini kama kuna msafi ndani yao!. Kama friji kwa asili yake ya kufanya kazi ilivyo ndivyo CCM ilivyo.

  Inapakwa rangi (waandishi wa habari), linabadilishwa compressor(rais) na kujazwa gesi(viongozi wengine) na kuwa na nguvu maradufu ya kutengeneza mafisadi, mwanangu kama hauamini nenda kariakoo kanunue used fridge see how it works! Magnificently!!, zinatengeneza barafu mpaka wakati ambao hautaki barafu unaona mabarafu yamejaa kila angle ya friji bila mpangilio!

  Huu mtambo maalum wa kutengeneza mafisadi nchi hii, kwanini mmelingÂ’angÂ’ania?

  OLD FRIDGES CAN KILL

  See here:

  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=l0nmL5heUEk"]http://www.youtube.com/watch?v=l0nmL5heUEk[/ame]

  Dump it!
   
 2. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 3. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,187
  Trophy Points: 280
  [​IMG] [​IMG]

  karibu CCM !!
  welcome to the making
  of Mafisadi !!
   
 4. M

  MtazamoWangu JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2009
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  umejitahidi kutumia fasihi yako......ujumbe umefika, ni wakati wa kutupa mafriji ya zamani..
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Jul 31, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,566
  Likes Received: 3,861
  Trophy Points: 280
  Halafu yanamaliza umeme, ukiwa na Luku utalia...
   
 6. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Tena huwa inatupwa kwa utaratibu fulani isilete madhara.
   
 7. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160

  E-waste Management Program tunayo kwetu TANZANIA?
   
 8. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #8
  Aug 1, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,566
  Likes Received: 3,861
  Trophy Points: 280
  vijana wa sasa huwa wanachukua scrappers na kufanyia vitu vingine.

  CCM ikianguka vyama vya siasa msije kukubali kuchukua hao 'scrapper' maana wana tabia za friji zima!
   
Loading...