Richmond yazizima mjengoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Richmond yazizima mjengoni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PhD, Aug 1, 2009.

 1. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  lile sakata la Richmond inaendelea huko mjengoni mjadala umekuwa moto kweli ya lowasa yanaweza kujirudia???
   
 2. M

  Mvutakamba Member

  #2
  Aug 1, 2009
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuzizima means nini? Nani na anasema nini ? Yapi yanaweza kujirudia una maana Pinda apinden naye ?
   
 3. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nini kinaendelea; give update
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kulikuwa na mjadala mkali na wabunge karibu wote waliozungumza, ukiacha Karamagi, walipingana na ripoti ya serikali inayoonyesha kuwa maofisa wa serikali (Hoseah na Mwanyika) hawakukutwa na hatia yoyote. wabunge wamesema kuwa hawakubaliani na njama za serikali kuwasafisha watu ambao ripoti ya kamati teule ya bunge ilionyesha wazi kwua walikuwa wamefanya makosa.
  lakini Sitta nadhani ameiokoa serikali kwani alipoona wabunge wanazidi kuchachamaa, alisitisha mjadala, akashauri kuwa kamati ya madini ikae na kuandaa ripoti ya nini kinachopaswa kufanywa na serikali ili kikao kijacho hoja hiyo ndio imalizwe. Ngeleja alikubali ghoja hiyo kwa niaba ya serikali na shelukindo, mwenyekiti wa kamati, naye akakubali, na wabunge wote nao wakakubali.
  Hivyo ngoma ya Richmond hadi Novemba
   
 5. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  sasa linaunguruma suala la Kiwira. Mpendazoe ameomba ruhusa kwa Spika ili awasilishe doecuments zinazoonyesha ANBEN, mmoja wa wanahisa wa Kiwira ni nani na diozument nyingine zinazoonyesha jisni ubinafsishwaji wa Kiwira ulivyofanyika.
  Anasisitiza kuwa ni lazima nchi iwe na utaratibuw a kuwaadhibu viongozi wanaopewa dhamana ya juu kabisa pale wanapokiuka maadili ya uongozi
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  bado anendelea kuzungumza "kama watanzania tusipojali maadili leo, itafika siku nchi itasambaratika.... Serikali ya awamu ya nne haikuapa kulinda serikali ya awamu ya tatu na serikali ya awamu ya tatu haikuapa kuilinda serikali ya awamu ya pili... waliapa kuilinda katiba"
  Lakini Sita amemkataza kuendelea kuzungumzia suala la serikali za awamu kwa sababu halimo kwenye hoja na inakatazwa na kanuni za bunge.
  Mpendazoe anamalizia kwa kusema ni bora waliohusika na suala la Kiwira waombe radhi kwa watanzania
   
 7. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Good Mpendazoe; Good sana
   
 8. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Kunanoga eeh!
   
 9. Companero

  Companero Platinum Member

  #9
  Aug 1, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mjdala umezizima au umezimwa?

  Kha hivi huwa wanafanya rehearsal za hii mijadala siku moja kabla kwenye caucus?

  Eti mjadala utafungwa November, mbona hawakuuongezea siku kama wa ule wa elimu?
   
  Last edited: Aug 1, 2009
 10. M

  Mvutakamba Member

  #10
  Aug 1, 2009
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu mzee wa Urambo bwana ana matatizo .Au ndiyo njia ya kutaka Ulinzi uongezwe ?Kila mara lazima aibuke na kuzima issues .
   
 11. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #11
  Aug 1, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kwa nini Spika atoe upenyo kwa jambo ambalo liko wazi. Nilimsikiliza Dr Slaa kwa muda mfupi na kuhisi kuwa serikali iko hatarini. Kama siyo Spika, ya Feb 2008 yangeweza kujirudia. Hata hivyo siwezi kushangaa kwa sababu wote ni CCM na kwa hiyo mwisho wa siku wanatataka kulinda chama wanachowajibika kwake badala ya wananchi wanaodhulumiwa. Sina hakika kama hiyo Novemba itakuja na jambo la maana. Mkakati wa kuchezea hii hoja ulionekana toka siku nyingi na kwa hiyo ilibidi leo kieleweke. Basi tena, wandanganyika ndo tumeingizwa mjini kwa mara nyingine. Drama inaendelea!!:rolleyes:
   
 12. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #12
  Aug 1, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Hakuna siri katika mambo ya kitaifa. Kwani ukificha leo , lakini kesho atatokea mwandawazimu na kuyafunua yooote. hata ikipita miaka 50 lakini lazima watashitakiwa.
   
 13. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Comrade, mjadala umezimwa hadi November halafu utazimwa tena hadi Febrauri 2010 halafu utazimwa tena hadi kiako cha bajeti 2010 then uchaguzi mkuu halafu Watanzania tutafungwa tena kamba kama kawaida
   
 14. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280

  Mkuu Kumbuka limo la USD 300,000, kumbuka pango la dola 8,000 kwa mwezi.....and the list goes on....unadhani atawasahau wanaomwezesha ki hivyo?
   
 15. Companero

  Companero Platinum Member

  #15
  Aug 1, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Yule mama aliyeongea kwa uchungu kabla ya Karamagi ndio Stella Martin Manyanya?

  Hii danadana ya Richmond, Kiwira na North Mara kwa mwendo huu itaisha Novemba?
   
 16. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #16
  Aug 1, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Sawa mkuu ila "justice delayed is justice denied". Wewe unaonaje?
   
 17. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ndiye mwenyewe.
  Hii danadana haitaisha Novemba kwa sababu imeshaonyesha kuwa kuna aina fulani ya kulindana. nadhani yaliyoibuliwa na baadhi ya wabunge yameonekana kuwa mazito. Mkakati wao ulianza kufeli tangu juzi walipowakutanisha wabunge wa CCM ambao wengi walionyesha 'uasi' wa wazi wazi, kwa hiyo nadhani wameamua kujipa muda ili kupanga mikakati zaidi
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mi dola hizo zinaniuma we acha tu alafu lile benz analo tembelea sasa atauziwa yeye mwenyewe kama gari chakavu uliza bei yake utaambiwa kanunua kwa milioni 2 au 5 limetengenezwa mwaka 2006 leo hii chakavu mmmh!
   
 19. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #19
  Aug 1, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Pinda ameshaliahirisha Bunge hadi Novemba. nadhani sasa ni wakati wa kuwabana kwa hoja
   
 20. Companero

  Companero Platinum Member

  #20
  Aug 1, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Tomaso wa Mwisho hiyo nukuu ya Thurgood Marshal aliitumia Nazir Karamagi leo bungeni kujisafisha bila maji taka!
   
Loading...