Mafisadi wana Hela kuliko wadhamini wa NCHI

Edward Juntao

New Member
Jul 28, 2009
3
0
je kweli tanzania inaelekea wapi?mafisadi ndio wakuu wa nchi.serikali nayo inawalinda..sasa hivi madhamini wengi wanajitoa kwenye udhamini wa nchi kwa mambo mawili.kwanza fedha zitaibiwa au kuchukuliwa na mafisadi.pili kwa sasa wanaamini kuwa hawa mafisadi wana fedha nyingi kuliko wao..kwa sasa watanzania TUMEFULIA kuwachagua hawa mafisadi.maana si viongozi.tanzania ni kitega uchumi cha mafisadi.. JE NAULIZA.TUTAFIKA KWELI?
 
je kweli tanzania inaelekea wapi?mafisadi ndio wakuu wa nchi.serikali nayo inawalinda..sasa hivi madhamini wengi wanajitoa kwenye udhamini wa nchi kwa mambo mawili.kwanza fedha zitaibiwa au kuchukuliwa na maafisadi.pili kwa sasa wanaamini kuwa hawa mafisadi wana fedha nyingi kuliko wao..kwa sasa watanzania TUMEFULIA kuwachagua hawa mafisadi.maana si viongozi.tanzania ni kitega uchumi cha mafisadi.. JE NAULIZA.TUTAFIKA KWELI?

mafisadi ndio wanaoleta hao wadhamini.. na wadhamini wanadhamini kwa ajili ya kupata favor in return.... government yetu ndio inakumbatia uchafu wote uendeleao nchini mwetu. Sijui rais wanawajibika vipi? ata kama yeye aliingia madarakani na kubebeshwa mzigo wa serikali za awamu nyingine, inabidi haonyeshe na atoe msimamo wake kuhusu suala hili la usifadi na wadhamini.. bila hilo hamna litakalo endelea.. itafika muda nchi itakuwa in more classes than what we have now.. wachache watakuwa billioners na wengine hawana hata hela ya kunywa maji
 
Back
Top Bottom