Tuna tatizo jamani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuna tatizo jamani!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Waberoya, Aug 2, 2009.

 1. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #1
  Aug 2, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  Tunajua ukitaka kuua nyoka piga kichwa.

  Kwa nini Jakaya ambae ndie kiini cha kila kitu na mtatuzi tegemewa wa matatizo ya watanzania huwa yuko so protected, watu wanaogopa kumdiscuss?

  Hivi tumerogwa na nani kuona raha eti kuzungumzia mafisadi kesho huyu, kesho yule, hatuoni any remarkable move ya president kuhusu ufisadi.

  Nani katuroga kufurahia kujua fulani ni fisadi na si kuona wakichukuliwa hatu, kwenda jela na kurudisha mali zetu?

  Tutasoma na kununua document zote za ufisadi, tutamjua kila fisadi nchi hii, wanaishi wapi , wameiba nini na shilingi ngapi, lakini what is the advantage of all that kama mwishowe hakuna kinachofanyika?

  Miaka minne imepita tumesema kila kitu, na walio na upeo mdogo watasema tumefanikiwa hatujaona fedha yeyote iliyorudihwa na watu kuchukuliwa hatua

  Ndio maana nasema why dont we stick kwa mkuu wa nchi? kila thread kila kona kila mtandao iwe JK , JK, JK fisadi!!!!! he was in first eleven, he is the head of everything never mention to mastermind many things!

  kanunua waandishi tumeshajulikana tunapenda maneno zaidi kuliko action, so waachie WASEME KUHUSU UFISADI WASEME WEE, WAUZIANE DOCUMENTS......semeni kuhusu wengine woooooooooooooooooooooooote ila siyo JK huyu ni safi eti , huyu ni shujaa eti kwa kuwaachia watanzania kila wakiamka kuandika umbea fulani fisadi.

  Hivi ndio uwezo wetu wa kufikiri umeishia hapa?

  JF MPO?
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  Aug 2, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Aug 2, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  well you are almost late; tafuta thread inaitwa "yes I said it"... halafu angalia tarehe iliandikwa lini.
   
 4. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #4
  Aug 2, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  Kikwete siyo safi -yes you said that!

  It was 2007! what about today? , na hii ulisema wewe! are all thinking like you?

  It was 2007! when JF was JF,is today, JF is real 'JF'?

  Today is 2009! I hope you are still believing it, however if is this is 'mat' of critical thinkers , then how JF is shaping those who are not thinking critically?

  Kama mtu mwenye uwezo wa ku-surf internet anasema ili MKAPA TUMJUE KUWA MSAFI THEN AITE PRESS CONFERENCE!

  Mara Magufuli achukue nafasi ya Masha, these are critical thinkers!

  I am not reproaching anyone here please, I am just challenging for good

  Kuwa tumesema weeeeeeee! kweli jitihada ziende hivi hivi? somebody has to invent something here!
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Aug 2, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
Loading...