SADC has launched a Free Trade Area among his members, including Tanzania. wanasema makato ya kodi kwenye usafirishaji wa bidhaa umepunguzwa kwa asilimia 75% (kama nimekosea naomba mnirekebishe...
Baada ya Serikali chini ya usimamizi wa kura kuamua kuibeba CCM yao kwa nguvu na kutumia pesa yangu kodi bila ya kujali wala kusoma alama za nyakati kwamba CCM haina mvuto tena wameamua kutumia...
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wametaka kutengewa fedha maalumu kwa ajili ya kujengewa nyumba katika majimbo yao kama ilivyokuwa zimetengwa fedha hizo na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
Zanzibar yataka Nyerere mwengine
Na Ally Saleh 'Alberto'
Baba wa Taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere hakuwahi kuwa kipenzi kikubwa sana cha wananchi wa Zanzibar. Na hilo ni kwa sababu...
ADHA HII ITAISHA LINI! Wednesday, 21 October 2009 08:02
Wanafunzi wa Darasa la Nne katika Shule ya Msingi Mtakuja iliyoko Vingunguti katika Manispaa ya Ilala, Dar es salaam wakifanya mitihani...
*Zitaanza uchaguzi wa serikali za mitaa
Boniface Meena, Moshi
MBUNGE wa Moshi Mjini,Philemon Ndesamburo(Chadema), amenunua helkopta mbili kwa ajili ya kukisaidia chama hicho katika kampeni za...
Wed Oct 21, 2009 5:33pm EDT
WASHINGTON, Oct 21 (Reuters) - Deputy U.S. Treasury Secretary Neal Wolin, the No. 2 official in the Treasury Department, will travel to Africa next week to discuss...
Kifo cha TRC :Wahujumu Uchumi na Mafisadi wamehusika na kuneemeka
Waswahili husema temba ujionee. Enzi za enzi, malori yalikuwa ni Mwanamboka na Superdoll, Kugis na Wachaga wachache.
Leo hii...
Ukahaba Wetu Unatuponza
Tafsiri ya Sanifu ya Kahaba, ni mtu ambaye anajiuza mwili ili ajipatie kipato. Ni mtu ambaye amekubuhu katika fani ya Umalaya na aliyekata shauri kuwa kamwe yeye hata...
Julius Nyerere, Jomo Kenyatta and Milton Obote were household names in the good old days
AN EAST AFRICAN PERSPECTIVE
Jerry Okungu
AS Kenyans commemorated the day Jomo Kenyatta was...
Najiuliza maswali mengi, imekuwaje CCM ipite bila kupingwa sehemu nyingi za TZ kwenye uchaguzi wa mitaa na vijiji?
malalamiko yalikuwa kwa tume ya uchaguzi, sasa yenyewe imesema haitasimamia...
Mh. Waziri mkuu alipata kunena: .............acheni kununua SUTI........
Ni kweli, maana kwa maisha ya kawaida ya mtazania mfanyakazi asiyekuwa FISADI hawezi kununua suti ya Mil 3.
Ndugu wana-ukumbi,
Juzi, Sunday, nilipata nafasi kula dinner na rafiki yangu mmoja wa zamani ambae anafuatilia sana mambo ya kwetu na kabla hajapata moja baridi moja moto nikamuuliza Whats...
21st October 2009
Si siri kwamba katika miaka ya hivi karibuni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar umekumbwa na dhoruba nyingi, miongoni mwanzo ni watu wanaohoji mamlaka yake katika baadhi ya...
..anachukua nafasi ya Johnson Mwanyika.
PRESIDENT Jakaya Kikwete has appointed Justice Frederick Mwita Werema as the new Attorney General. He replaces Mr Johnson Mwanyika who is retiring.
The...
Wakatoliki kuwakilishwa AU?
Mkutano (Synod) wa maaskofu wa Kikatoliki kutoka Africa ulioitishwa na Papa Benedict XVI unaendelea huko Vatican kwenye makao makuu ya kanisa hilo. Maaskofu kadhaa...
Kwa muda nimekuwa mbali na ulingo huu, nashukuru kwamba mijadala ya fikra mbadala inaendelea kwa kasi. Oktoba 14, niliongoza maandamano ya kumbukumbu ya Nyerere. Wapo waliunga mkono, wapo...
Wasomi wapendekeza liundwe
Askofu Mkuu Dk. Mokiwa ataka lisiundwe na Serikali
Askofu Mkuu Dk. Mokiwa ataka lisiundwe na Serikali
MJADALA kuhusu masuala ya dini na siasa umeanza kuchukua...
Wadau kuna hoja kwamba nchi kuingia kwenye mgao ni sehemu ya ushindi wa CHADEMA dhidi ya CCM ambao wamefanikiwa kuisambaratisha CCM na kuifanya kipoteze muelekeo kiasi cha kusababisha CCM...
Habari kuwa tatizo la umeme Tanzania ni sugu, sikulipokea kwa mshangao hata kidogo. Picha ya tatizo hili nililielewa pale Rais mstaafu Mwinyi akiwa madarakani, alipolieleza tatizo kama limetokana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.