Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Whilst I am not against this idea or Prof Katima whatsoever (Soma hapo chini). As an Alumni at this very institution I am inclined to believe kwamba siasa inaua hiki chuo especially the College of...
0 Reactions
119 Replies
13K Views
Na Aristariko KONGA UCHUNGUZI wa matumizi mabaya ya fedha katika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) umemuumbua Mkurugenzi Mtendaji, Dk. Idris Rashidi. Miongoni mwa mambo ambayo yamegundulika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naombeni kuuliza? Huu mtindo wa wafanyabiashara haswa hawa wenzetu wenye asili ya Kiasia kutaka publicity wanapotoa misaada inanikera! Hebu angalieni hii picha hapa chini ya huyu mhusika wa...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
NCCR Mageuzi leo imefungua kesi mahakamani ya kuishinikiza serikali ivunje tume ya taifa ya uchaguzi na iunde nyingine ambayo itakuwa huru kabla ya 2010, Swali je ktk muda mchache huu uliobaki...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
mjadala umeshakuwa wa wazi sasa ambapo mwanzo tulikuwa tunanong'ona. Je unadhani kuna mwanaccm ambaye ni kuntu kupokea kijiti kutoka kwa muungwana??? lete jina na wasifu tuchambue hapa...
0 Reactions
53 Replies
7K Views
Kutwa leo ndani ya Kikao cha Baraza la Mawaziri (Extra Odinary Meeting)Walioko kiungani tupeni yanayojili.
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Na Mwandishi Maalum NIMEFUATILIA kwa siku nyingi sana kelele zinazopigwa na viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu kile kinachoitwa kuwa ni "kashfa" ya...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Hivi bakuli la serikali analolitembeza rais wetu mheshimiwa sana JMK kwa watu weupe na lile bakuli la ombaomba Matonya je zina utofauti? Matonya alikuwa mzee, wengine hawana mikono, miguu, elimu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya mtifuano uliotokea hivi karibuni ambapo wanasiasa wakongwe nchini Joseph Butiku na Matei Qaresi kueleza udhaifu wa raisi kikwete katika uongozi wake kwa kushindwa kufanya maamuzi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
EPA scandal: Dar law firm continues to evade prosecution By ThisDay Reporter 14th December 2009 The BOT Twin Towers headquarters in Dar es salaam MYSTERY continues to surround the...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Tunataka kufahamu reaction ya wananchi huko Tanga leo imekuwaje? Je Chadema bado wana momentum ile ya mwanzo? Mnyika njoo utupe jibu humu ndani na tunataka na pícha za umati!
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Beno Ndulu aikingia kifua mikopo ya watumishi BoT. Je, hii ni sahihi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu, Naomba tujaribu kukitathmini Chama cha Mapinduzi, Mimi nakipa 0% Kwasababu toka kimeanza ni miaka chungu nzima na hakikustahili kuwa hapa kilipotuweka. Toa tathmini yako kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Clouds FM yatusaliti! The whole week PJ wa Power Breakfast (clouds FM) alikua anatembelea migodi ya Barrick. Akaja na bla bla bla kwamba wamepeleka maendeleo katika vijiji vilivyo zunguka...
0 Reactions
72 Replies
8K Views
Foreign Affairs and International Cooperation minister Bernard Membe has expressed his government’s displeasure at the conduct of Canadian diplomat Jean Touchette whom allegedly spat on a traffic...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Baada ya kuwa mwangaliaji wa muda mrefu kuhusu masuala ya ufisadi, ningependa kusema kuwa hakuna kitu kinachoitwa vita dhidi ya ufisadi. Haya ni maoni yangu binafsi na sina nia ya kuwakatisha...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ilishawahi kusikika: 'Kelele za mlango hazitunyimi usingizi' --- Wiki moja iliyopita: 'Pamoja na watu kulalamikia safari zangu, ukweli ni kuwa nalazimika kusafiri kwa kuwa safari zangu...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Halmashauri kuu ya chama cha NCCR-Mageuzi imemaliza kikao chake cha siku mbili jijini Dar, leo jioni. Katika kikao hicho, wanachama wapya waliohamia kutoka chama kingine walihudhuria kama...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
It has always bothered me. Anytime we have a serious debate or discussion in the country on corruption or there is a new scandal erupting you'll hear that a so and so donor country has given...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Wakuu, Nafikiri tumefikia hatua ambapo kuna haja ya kubadili katiba yetu ili Rais anayechaguliwa katika uchaguzi mkuu akae madarakani kwa kipindi kimoja tu kisichozidi miaka mitano. Hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…