Kipindi cha urais kiwe kimoja tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipindi cha urais kiwe kimoja tu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Amanikwenu, Dec 14, 2009.

 1. A

  Amanikwenu Senior Member

  #1
  Dec 14, 2009
  Joined: Dec 1, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wakuu,

  Nafikiri tumefikia hatua ambapo kuna haja ya kubadili katiba yetu ili Rais anayechaguliwa katika uchaguzi mkuu akae madarakani kwa kipindi kimoja tu kisichozidi miaka mitano. Hii itatusaidia sana kuepukana na matatizo ambayo yanatokana na udhaifu wa kiongozi wa juu katika nchi zetu.

  Kwangu mimi miaka mitano inatosha sana kwa Rais kufanya kile ambacho amepanga kuifanyia nchi yake na watu wake.

  Naomba kuwasilisha.
   
Loading...