Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Quoting the one and Only Kiranga, let me open a window of debate and slugs! If not the statement sort of quantify Nyani/Julius Ndivyo tulivyo. Be it in Social aspect, economy, political...
0 Reactions
102 Replies
10K Views
Tetemeko lililotokea jana huko Chile ni moja ya matetemeko makubwa sana kutokea duniani. Vipimo vyake vilikuwa 8.8 kwenye mzani wa Richter. Hakika hili lilikuwa kubwa zaidi kuliko lile la Haiti...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nadhani kuna mtu anatakiwa kusema; hawa viongozi sasa hivi wanawanchanga wananchi. Wanapita mikoani wakifanya shughuli za serikali huku wakiwaasa wananchi kuwa waangalifu na watu wanaopiga kampeni...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
MBUNGE wa Sikonge, Said Nkumba (CCM) juzi jioni alimuacha hoi Waziri Mkuu Mizengo Pinda, pale alipowapa salamu ya shikamoo watoto ili pamoja na wazazi wao wamchague tena kuendelea kuwa mbunge wa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hivi kweli viongozi wanakuwa salama wanapo kuwa ziarani? Hapa muheshimiwa Pinda hicho kiti alicho simamia kingeteguka angepona kweli hapo? Na mifupa hiyo ya uzeeni si ingekuwa balaa hapo tunaanza...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
national examinations council of tanzania csee 2009 examination results s0713 igunga secondary school div-i = 0 div-ii = 2 div-iii = 16 div-iv = 64 fld = 37
0 Reactions
11 Replies
2K Views
na Mwandishi Wetu, Urambo WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda, amemmwagia sifa kemkem Spika wa Bunge, Samuel Sitta akisema amejenga Bunge lenye sifa na umakini. Pinda ambaye majuzi alimmwagia sifa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
First lady Salma Kikwete a.k.a Mama JK alikuwa mwalimu wa Mbuyuni shule ya msingi wakati JK alikuwa waziri. First lady Salma Kikwete anayajua matatizo ya elimu na walimu kwa ujumla. Je ametoa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati Maalumu iliyoundwa na Rais Jakaya Kikwete kupitia na kupendekeza maboresho ya sekta ya madini nchini, Jaji Mark Bomani, amesema hatua ya kampuni ya African Barrick...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jana nilikuwa naangalia Taarifa ya Habari Channel ten, nikamuona Aisha Kigoda akigawa Misaada huko Handeni, Moja kati ya Misaada aliyogawa ni Mpira mmoja wa Miguu na mmoja wa Netball kwa Wanafunzi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Spika BLW Zanzibar Mh. Pandu Ameir Kificho MUWAZA inakutunukia pongezi zake za dhati kwa matamshi yako ya kizalendo ya kutetea uhuru, uwezo na nguvu za BLW kwa kutamka kwamba "Hakuna Mtu au...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Our journalists, particularly those that work for The Guardian, continue to exhibit signs of very low understanding of facts and figures. Do neither the Reporters nor the Editors know that a...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Rais Kikwete ameanza kuhutubia Taifa katika utaratibu wa mwisho wa mwezi. Ameanza kuzungumzia suala la rushwa katika uchaguzi kama alivyozungumzia kule kwenye Mkutano wa TAKUKURU Mwanza.. more to...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
NEC technically locks out CCM presidential aspirants By Rodgers Luhwago 28th February 2010 President Jakaya Mrisho Kikwete Any CCM member seeking nomination as the ruling...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kwanza napenda niwashukru japo si kwa furaha wanablog hii kwani mnaonekana wenye mtazamo wa kutaka kuleta mapinduzi lakini shabaha ndiyo mbovu. pili nimpe pole rais wa jamhuri ya muungano wa...
0 Reactions
71 Replies
7K Views
Na Nkwazi Mhango UTHIBITISHO kwamba kampuni ya BAE Systems ya Uingereza imetembeza rushwa ili kupata kuiuzia Tanzania rada ya kijeshi (Plessey Commander Fighter Control System), unatupa changamoto...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
... Mwafrika mwenyewe!
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nd. wana JF, Naomba kidogo nitoe maoni machache kuhusu hoja zinazotolewa mara kwa mara na watu ambao wanashangazwa na manun'guniko ya Muungano. Kuna wale wanaodai kuwa bila ya Muungano Zanzibar...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Chanzo: TBC1 News (saa mbili usiku) Balozi huyu WA TANZANIA ITALIA ni miongoni mwa wanaowania KWA RIDHAA YA UONGOZI WA CHAMA kinyang'anyiro cha urais huko visiwani. Amekiri wazi kwa kinywa...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo, amesema mpango wa wizara kutoa ripoti ya uchunguzi wa uamuzi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kutumia zaidi ya Sh. bilioni 2.5 kujenga nyumba mbili za...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…