Matokeo yakihesabiwa vituoni wakala ataondoka na kopi yake lakini wakati huohuo ili amrahisishie kazi anayejumlisha jiboni, anaweza kutuma hata kwa message kwenye tally centre yaani ile ya...
Hivi vituo vya kupigia kura vinatakiwa vifungwe saa ngapi? Nimesikia katika TV channel moja kwamba vinafungwa saa 10.00 jioni. Kwa maoni yangu ni mapema mno na sioni sababu yoyote kwanini...
Huko Lindi CCM imewasimamisha viongozi 50 wa ngazi mbalimbali kwa tuhuma za kuhujumu chama.
Huko Arusha nimeletewa habari za kuamninika na mmoja wa walioko kwenye kampeni za mgombea ubunge kuwa...
Kuna habari huko Geita kuna kituo wanatumia Daftari la mpiga kura la 2005 baada ya daftri la 2010 kukosekana.
Ama kweli NEC mwaka huu imeboronga balaa....
Wadau nimewahi kupiga kura pale Utawala Mlimani nikiwa mtu wa saba then nikaingia church. Katika tangazo la Tume rangi ya BLUU ni uraisi, NYEUSI ni Ubunge na NYEUPE ni udiwani. Lakini kwenye kituo...
Kuna wakati members wangependa kuwasiliana moja kwa moja na wanao cordinate uchaguzi kwa upande wa CHADEMA lakini wanakosa namba / contacts.
Nashauri iwepo page itakayokuwa na details hizo, iwe...
Jamani,
Tuliambiana humu JF kwamba document ya kujumlisha kura zote jimboni automatically imeshatengenezwa. Hivyo hakuna ujanja wa kupindisha mahesabu.
Tulikubaliana tuwasambazie wote...
Habari nilizopata sasa hivi kutoka Jimbo la Karagwe, kata ya Mabira ni kwamba kuna wasimamizi wa kituo fulani wanahojiwa na polisi kutokana na wapiga kura kukuta alama ya tiki kwenye chumba chja...
kana sehemu nyingi wasimamizi wameripotiwa kutotaka kuhakiki majina ya wapiga kura, yaani mawakala hawaambiwi,
Sehemu zingine hata daftari hawana access nalo.
halafu kuna kutofautiana kwa namba...
Mungu amenisaidia nimekuwa mtu wa kwanza kituoni kwangu kupiga kura. Nilifika saa 11 na dakika 33 (05h33) na kituo kilifunguliwa saa 12 na robo (06h15) na nilipiga kura yangu saa moja na dakika...
Ni hivi punde tu Mwakilishi wa EU akiwa antoa tathmini yake ya awali emesema uko Lindi kuna irregularities kiasi eti mmoja wa wanafamilia anawapigia wengine katika familia yake.
Unless...
piga number zifuatazo ili kuondokana na tatizo lako.
0758466122
0754281463
0754271767
Mkurugezi wa tume ya Uchaguzi RAJABU KIRAVU ametoa number hizo ,na muber hizo ni za watu walioko kwenye...
A total of 663 reports have been received on Uchaguzi Tanzania with 90% verified by TACCEO. The verification process involved actual phone calls to citizens amplifying the specific concerns for...
kwa vile tunauhakika wa wewe kuapata ushindi ulio wazi, binafsi na huenda wanachama wengine tungekushauri, katika baraza lako la kihistoria la mawaziri jalibu kuwaweka baadhi ya makamanda...
Makarani wa kuchapa matokeo ya jumla yakiwa yameshakusanywa wamechukuliwa na kupelekwa makao makuu ya Mkoa.
Taarifa hii imetoka kwa Mtanzania mwenzetu akiwa Manyara ambapo ameniambia kuwa hawa...
Ripoti hizi si za kupuuza hasa ikitoka kwa shuhuda 31/10/2010
0 Comment(s)
Nimekuwa nikifuatilia machapisho ya bloga, Albert Paul na licha ya kuwa blogu yake haina umaarufu zilizonao blogu...
Uchaguzi haujaahirishwa na tayari nipo kituoni kwa ajili ya kupiga kura. Kama utabiri huu wa kimajini umekwama, ule uchafu mwingine wa JK kushinda kwa kishindo upo kweli? Sheikh Yahya kajifiche...
Nimeshatoka kuvote for slaa,ktk kata ya sinza: Nimestaajabu kuona mawakala hawausishwi kukagua kadi ya mpiga kura na daftari la wapiga kura,kiana wametengwa. Ni rahisi kwa mtu ambae hayupo ktk...