Elections 2010 Inawezekana kuchakachua kiulaini tu

STREET SMART

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
807
622
Nimeshatoka kuvote for slaa,ktk kata ya sinza: Nimestaajabu kuona mawakala hawausishwi kukagua kadi ya mpiga kura na daftari la wapiga kura,kiana wametengwa. Ni rahisi kwa mtu ambae hayupo ktk daftari na mwenye kadi feki ya kura kupiga as long as wakaguz wote ni ccm. Hii imeniskitisha sana. Do something mnyika, tutaumia leo.
 
Kweli nimeona wakala wamekaa mbali k una mtu mmoja pale nadhani wa tume ndo anachukua ile kadi anasoma jina kwa Nguvu wale ma wakala wana cross cheki na wao km kweli yupo au vipi
 
mbinu ambayo hutumia ni kuharibu kura ya wapinzani ili kura zisitoshe kwa mfano kura akipigiwa lipumba na mafisudi hawa mtaki, basi itaongezwa tiki nyingine kwa sema kikwete au slaa, hivyo wakati wa kuhesabu kura hakikisheni hakuna mwenye kalamu.
 
Jimboni Getita kuna kata mmoja inatumia daftari la zamani na walio jiandikisha upya imekula kwao hii ni jinsigani inavyoonyesha NEC haijajipanga na imejipanga kuvuruga uchakuzi sasa narudi kumuuliza kamanda wa JWTZ aliyesma watu wasifanye vuru je katika hali hii anatarajia watu wasifanye vurugu kwa kukosa kupiga kuru? JE ATAKUBALIANA NAMI KUWA SERIKALI NDIO INASABABISHA KUWEPO NA VURUGU KWA MAPUNGUFU YAO YA KUNYIMA HAKI WANANCHI KATIKA ZOZI HILI?
 
mbinu ambayo hutumia ni kuharibu kura ya wapinzani ili kura zisitoshe kwa mfano kura akipigiwa lipumba na mafisudi hawa mtaki, basi itaongezwa tiki nyingine kwa sema kikwete au slaa, hivyo wakati wa kuhesabu kura hakikisheni hakuna mwenye kalamu.

muhimu
 
Back
Top Bottom