Kutuma matokeo toka vituoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutuma matokeo toka vituoni

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kieleweke, Oct 31, 2010.

 1. K

  Kieleweke Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Matokeo yakihesabiwa vituoni wakala ataondoka na kopi yake lakini wakati huohuo ili amrahisishie kazi anayejumlisha jiboni, anaweza kutuma hata kwa message kwenye tally centre yaani ile ya kujumlishia akiweka mpangilio huu:
  **
  Matokeo ya URAISIatume message tuma ifuatayo:
  ZILIZOHARIBIKA:
  CHADEMA:
  CCM:
  CUF:
  NCCR:
  TLP:
  UPDP:
  APPT:
  **
  Matokeo ya UBUNGEatume message tuma ifuatayo:
  ZILIZOHARIBIKA:
  CHADEMA:
  CCM:
  CUF:
  NCCR:
  TLP:
  UPDP:
  APPT:
  DP:
  UDP:
  MAKINI:
  UMD:
  NRA:
  TADEA:
  PONA:
  FORD:
  NLD:
  SAU:
  CHAUSTA:
  **
  Matokeo ya UDIWANIatume message tuma ifuatayo:
  ZILIZOHARIBIKA:
  CHADEMA:
  CCM:
  CUF:
  NCCR:
  TLP:
  UPDP:
  APPT:
  DP:
  UDP:
  MAKINI:
  UMD:
  NRA:
  TADEA:
  PONA:
  FORD:
  NLD:
  SAU:
  CHAUSTA:

  Tujipe moyo ile automatic calculator tuliyoletewa humu JF wanaojumlisha wataitumia kwa kila jimbo na bado tunawakumbusha iko kwenye thread hii:

  https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania-2010/81684-matokeo-ya-uchaguzi-yawekwe-hapa.html
   
Loading...