Rangi ya mifuniko ya mabox ya kura yamekaaje pale UTAWALA-MLIMANI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rangi ya mifuniko ya mabox ya kura yamekaaje pale UTAWALA-MLIMANI

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by coby, Oct 31, 2010.

 1. coby

  coby JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 342
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wadau nimewahi kupiga kura pale Utawala Mlimani nikiwa mtu wa saba then nikaingia church. Katika tangazo la Tume rangi ya BLUU ni uraisi, NYEUSI ni Ubunge na NYEUPE ni udiwani. Lakini kwenye kituo nilichopigia kura yaani "Utawala-5", Bluu inawekewa ubunge, Nyeusi inawekewa Uraisi. nina wasiwasi katika kuyasafirisha haya makasha yanaweza kuchanganywa kwani kila nilikofuatilia mfumo wa rangi wa tume ndio unaofuatwa na nimefuatilia wengine wote ndivyo ilivyo. Nina uhakika jamaa wamejichanganya tu na sio uchakachuaji. Ila kwa kuzingatia itifaki nafikiri kwa wahusika wafuatilie hilo ili kuongeza umakini
   
Loading...