Uchakachuaji mkubwa wa wapiga kura ni huu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchakachuaji mkubwa wa wapiga kura ni huu!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MTWA, Oct 31, 2010.

 1. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  kana sehemu nyingi wasimamizi wameripotiwa kutotaka kuhakiki majina ya wapiga kura, yaani mawakala hawaambiwi,
  Sehemu zingine hata daftari hawana access nalo.
  halafu kuna kutofautiana kwa namba za kitambilisho cha kura, lakini kuna watu walipita kipindi fulani kurekodi namaba za vitambulisho, lakini pia kuna vitambulisho visivyo na picha

  Je hapa hakuna mwanya wa uchakachuaji wa kura?
   
Loading...