Kura yapigwa na mwanafamilia mmoja - Lindi, mwakilishi EU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kura yapigwa na mwanafamilia mmoja - Lindi, mwakilishi EU

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ilulu, Oct 31, 2010.

 1. Ilulu

  Ilulu Senior Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Mar 22, 2008
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ni hivi punde tu Mwakilishi wa EU akiwa antoa tathmini yake ya awali emesema uko Lindi kuna irregularities kiasi eti mmoja wa wanafamilia anawapigia wengine katika familia yake.

  Unless sikumwelewa vizuri (lugha).. Hii haiko njema na sielewi imewezekana vipi NEC au wasimamizi WAKAIRUHUSU.
   
 2. c

  chanai JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Atakuwa wa sisiem huyo. Lishughulikiwe hili
   
 3. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Imekaaje hii!
   
 4. K

  King kingo JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 401
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Haya sasa halafu hawa wasimamizi wakaseme uchaguzi ulikuwa huru na haki D$$%#n
   
 5. A

  August JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,509
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo baba akitaka cuf/chadema/sisiemu basi ukoo mzima ni huko, na msimamizi wa kitua hicho anasemaje? ana ruhusu hayo? naomba sirikali iliyopo madarakani itueleze kuhusu hilo suala au ndio kampeni zao.
   
 6. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Watasema haukuwa huru na haki! Wanaogopa yasitokee ya Ethiopia mwaka 2005 pale waliposema uchaguzi haukuwa huru na haki halafu wapinzani wakamiminika mitaaani kuandamana na polisi wa serikali ya Zenawi wakawafyatulia risasi na kuuwa watu 190!

  Wanaogopa hilo kutokea!!! These f***** African countries!!!
   
 7. Sisimizi

  Sisimizi JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2010
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 490
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hii kali. Wakati hivi ,majuzi tu amekamatwa mtu aliyekuwa amekusanya vitambulisho vya watu watatu. Nadhani hapo lugha haikueleweka.
   
Loading...