Elections 2010 Makarani wa kuchapa matokeo wachukuliwa

muhimbili

Member
Oct 26, 2010
23
1
Makarani wa kuchapa matokeo ya jumla yakiwa yameshakusanywa wamechukuliwa na kupelekwa makao makuu ya Mkoa.

Taarifa hii imetoka kwa Mtanzania mwenzetu akiwa Manyara ambapo ameniambia kuwa hawa makarani wamechukuliwa leo kwenda mkoani ambapo haijulikani wanaenda kufanya nini.Then watarudishwa saa 8.Sijui maeneo mengine ya Tanzania kama haya mambo yametokea.

Mtoa taarifa ni mfanyakazi wa serikali mkoani Manyara na hili jambo limemsikitisha sana,as kwa nini ifanyike leo na sio siku nyingine zilizopita?It seems kina kitu kinapangwa kufanyika katika ku sum up matokeo,
 
Lakini si kura zote zinahesabiwa vituoni? Naamini mawakala watakuwa makini kutunza hesabu kamili ya kura ili waweze kufananisha na hizo za jumla. Mungu bariki tanzania
 
uchakachuaji ni wa kuharibu kura kwa kuweka tick kwa mgombe mwingine ili kuifanya kura iwe batili, yaani ina tick sehemu mbili, hivyo hakikisha hao waangalizi hawaingi na kalamu
 
Mawakala wa vituoni chonde chonde, dhamana mlopewa na watanzania ni kubwa mno! Tafadhali timizeni wajibu wenu ipasavyo, suala hili ni muhimu kwa maisha yetu sote kwa miaka mingine mitano ijayo, hivyo safari isiwe kufanya mzaha!
 
Back
Top Bottom