Hilo zoezi lao halina maana.Likiachiwa litaleta mvurugano.katika hali ya kushangaza,mawakala wa chadema wanazuiwa kuhakiki vitambulisho vya wapiga kura kituo cha sinza mapambano
Hilo zoezi lao halina maana.Likiachiwa litaleta mvurugano.
Utaratibu wa kuwekwa tiki kwa kila mpiga kura aliyefika linatosha.Hakuna haja ya kuangalia sura ya mtu na kupekua pekua.
katika hali ya kushangaza,mawakala wa chadema wanazuiwa kuhakiki vitambulisho vya wapiga kura kituo cha sinza mapambano
Nami nimepiga kura hapo Mapambano A, kweli mawakala wamekaa, lakini ukiingia huyu wa kwanza anataja jina lako na namba yako, wale wengine wana confirm na kuandika kwenye note books zao. Na huyu wa kwanza anacheki picha na kutia tick kwenye list ambayo ina jina na picha , naamini wote wanayo hii list mawakala. Sasa sioni tatizo hapo kama wote watakuwa makini kufuatilia kila mpiga kura akiingia.
Hapa ni kuwa kama atakuja mtu mwingine mwenye jina na namba ya kadi hiyo si itaonekana inataka kutikiwa twice!!! hapo ndo itabidi waulize , lakini kwa mwanzo hakuna haja ya kila mmoja kucheki hiyo kadi.
Hilo zoezi lao halina maana.Likiachiwa litaleta mvurugano.
Utaratibu wa kuwekwa tiki kwa kila mpiga kura aliyefika linatosha.Hakuna haja ya kuangalia sura ya mtu na kupekua pekua.
Mimi nafikiri hilo zoezi lianzie na mashaka ya mawakala kwa mpiga kura mhusika.Kama hakuna haja y kuangalia picha na sura ya mpiga kura kuna sabu gani ya kuweka picha kwenye kitambulisho cha mpiga kura?
Acha ushabiki usiokuwa na maana
Mimi nafikiri hilo zoezi lianzie na mashaka ya mawakala kwa mpiga kura mhusika.
Ilivyokuja kwenye hii thread kama kwamba kila anayefika kituoni Chadema hadi wamhakiki kwanza.Hilo lingeleta tabu na wao CHADEMA wala hawana wataalamu wa kuhakiki picha.Hivyo uhakiki wa jina unaofanyika na mtu mwenyewe na kufuatiwa na alama ya afisa wa NEC ndiyo njia nyepesi kuliko hivyo nilivyofahamu walivyobuni CHADEMA wa kituo hicho.