Weka page yenye namba za simu kwa ajili ya dharura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Weka page yenye namba za simu kwa ajili ya dharura

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Misterdennis, Oct 31, 2010.

 1. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Kuna wakati members wangependa kuwasiliana moja kwa moja na wanao cordinate uchaguzi kwa upande wa CHADEMA lakini wanakosa namba / contacts.
  Nashauri iwepo page itakayokuwa na details hizo, iwe rahisi mtu kuziona hizo contacts kwa urahisi zaidi.
  Zipo zilizotolewa na wadau ktk moja ya posts humu, lakini zimeshafukiwa na posts nyingi hivyo access yake inakuwa ngumu.
  Please do ze niidiful.

  Note: Yuko mdau amepiga kura huko kivukoni na alikuwa na taarifa nyeti ... siju kama amepata wahusika ili awape hizo taarifa.
  Wahusika naomba fuatilieni hiyo isse.
  Asante
   
 2. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
Loading...