Nimepiga kura, wewe je? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimepiga kura, wewe je?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jafar, Oct 31, 2010.

 1. J

  Jafar JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mungu amenisaidia nimekuwa mtu wa kwanza kituoni kwangu kupiga kura. Nilifika saa 11 na dakika 33 (05h33) na kituo kilifunguliwa saa 12 na robo (06h15) na nilipiga kura yangu saa moja na dakika nne asubuhi hii (07h04).

  Pia nemefurahi kutimiza /kufikisha messages 1000 leo hii.

  Utaratibu ni mzuri lakini inaelekea hata wasimamizi wa vituo mambo mengine hawayaelewi. Kwa kuwa nilikuwa wa kwanza kufika ilibidi niwasaidie watu wengine kutambua sehemu yao ya kupiga kura.

  FFU wamejaa kwenye vituo na magari ya jeshi (JWTZ) ndio yanayosaidia usafari wa viti (nimeona kwa macho yangu) na vitu vingine.

  Tatizo ni kwamba kura yangu sio siri (kunja kiganja na nyoosha vidole viwili huku vingine ukibaki umevikunja)

  Mungu Ibariki Tanzania
   
 2. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Congratulations bro!
   
 3. m

  mzalendo2 Senior Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  naam hapa kilima hewa tayari tushapiga kura kwa amani na sasa nnaelekea amani kwa wazee pale barazani kupata kahawa na kutafuna kashata nikisubiri habari moja mbili hadi jioni nianze kujipanga kupokea matokeo

  mji unazizima kwa ukimya watu wote kama wamepigwa na butwaa
   
 4. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  hongera bro,nipo kitandani nimekesha na JF,ngoja niamke nami nikapige KURA
   
 5. STREET SMART

  STREET SMART JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 666
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  na mi ndo natoka kui divorce ccm, wapotelee mbali, mkwere akirudi ni kukabidhi ofisi tu INSHALLAH
   
 6. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mimi tayari, binti yangu ndio anaenda kupiga kura na mama watoto baadae. kura yangu tayari chadema wanayo.
   
 7. Ally Msangi

  Ally Msangi Verified User

  #7
  Oct 31, 2010
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 580
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  namimi naelekea kumpa kura yangu shujaa wetu dr. slaaa na mbunge wangu wenje
   
 8. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
 9. Mdau Mkuu

  Mdau Mkuu JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 236
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Namshukuru Mungu nimempeleka SLAA Ikulu kama nilivyoahidi kuwa ctopoteza kura yangu! nawe pia nenda kampe kura yako!
   
 10. Companero

  Companero Platinum Member

  #10
  Oct 31, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  NIMESHAPIGA KURA YANGU YA KIHISTORIA!


  [​IMG]
  Mwanzo Mgumu!

  [​IMG]
  Kuziba Mianya!

  [​IMG]
  Kujipanga Kazi!

  [​IMG]

  Kutafuta Jina!

  [​IMG]
  Kupiga Kura!
   
 11. The Spit

  The Spit JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Well Done Hommie!

  Dr. Slaa all the way!
   
 12. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Kaka tuko pamoja, nimehakikisha ni full suti, diwani mbunge na rais sasa tuone kama watachakachua matokeo
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  safi sana
   
 14. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mimi nipo ktk kituo cha Mbagala kizuiani hapa. Foleni ni ndefu na wadau wanaenda kupiga kura huku tukiwa na kumbu kumbu ya swala letu la kulipukiwa mabomu kugeuzwa la kisiasa.
  Nipo kwenye foleni bado natamani nipewe karatasi hata mia niwekeke tick kwa shujaa, Dr wa ukweli.
  Hivi siruhusiwi kuweka X kwenye picha ya JK?
   
 15. RR

  RR JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  copied...
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Oct 31, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Bravo bravismo companero. I will treat you with a cold one! Meet me at samaki
   
 17. Companero

  Companero Platinum Member

  #17
  Oct 31, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  thanks, poa, tena nilikuwa hapo jana nikiwacheki gunners on song wakimgalagaza mtu kwa diving header!
   
 18. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #18
  Oct 31, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Nimekwisha piga kura yangu nakwenye kituo changu ulinzi umekamilika kwani mmoja wa maagent nimemuona mwanafunzi wa chuo kikuu ambae hawawezi kumdanganya!!

  Wasiwasi wangu uko kwenye vituo ambako chadema hawajasimamisha wagombea Ubunge , huko kama hawakuwekwa wasimamizi imara ni sehemu ambayo hawa mafedhuli wanaweza kujazi kura za wizi za urais!! Hopefully hili limethibitiwa.
   
 19. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #19
  Oct 31, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Mimi nimepiga saa moja na dakika ishirini, kwa bahati mbaya Kata niliyopiga hakuna diwani wa Chadema ikabidi nimpe wa CUF, we need changes.
   
 20. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #20
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  powaaaaaaaaaaaaaaa,mbuyu chali mpaka sasa
   
Loading...