Je jina lako halionekani kwenye orodha?wasiliana na tume ya uchaguzi ili upige kura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je jina lako halionekani kwenye orodha?wasiliana na tume ya uchaguzi ili upige kura

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Vitendo, Oct 31, 2010.

 1. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  piga number zifuatazo ili kuondokana na tatizo lako.
  0758466122
  0754281463
  0754271767
  Mkurugezi wa tume ya Uchaguzi RAJABU KIRAVU ametoa number hizo ,na muber hizo ni za watu walioko kwenye database ya NEC huko
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  ni namba za kina nani....isije ikawa mambo ya mbuzi kumpigia simu simba
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Taja authority ya directive hii. Halafu hizo namba zote ni za voda na tuna mashaka sana na mtandao huo ambao RA ana hisa, na hivyo ushawishi!
   
 4. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hiyo ni NEC
   
 5. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tunataka kujua
  0758466122 - XXXX
  0754281463 - YYYY
  0754271767 - ZZZZ
  Ahsante kwa namba hizo, ufafanuzi utapendeza zaid
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  labda bwana vitendo ungeweka hii habari wazi zaidi...imekaa kificho sana....kama ni NEC lazima watakuwa na land lines, tigo au zain...hii mbona inakaa kama ni za watu binafsi na wote wanatumia vodacom.....how?
   
 7. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kama ni NEC kwa nini hawatoi tamko rasmi kupitia vyombo vya habari?
   
 8. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  NImemsikiliza KIRAVU kitoa number hizo kupitia BBC.
   
 9. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  kiravu katoa number hizo kupitia bbc na hao ndo watu walioko kwenye database ya tume ya uchaguzi ,hivyo pigeni ili mpige kura.
   
Loading...