Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

...jamani siamini masiko yangu....ati CHENGE....a.k.a VISENTI ameshinda BARIADI......hivi wananchi wapo wanaishi huko....au tumeingiliwa....
0 Reactions
0 Replies
883 Views
jana prof alikuwa akivinjari ktk mitaa ya moro kwa mara ya mwisho. msururu wa pikipiki na magari ulimsindikiza ktk mitaa ya manispaa ya morogoro. watu wakimwita rais nae alipunga mikono akikubali...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Sasa Rais wetu JK anakalibia kuapishwa JWTZ HIma Himaaaaaaaaaa...............malizia Mpaka sasa 80%
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MISSION: To safeguard democracy and maintain integrity of Electoral System in the country by co-ordinating and supervising voter registration, constituency demacration and election related...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF, Nikiwa kama kijana mpenda maendeleo ya nchi yangu nmekua nikijiuliza maswali mengi sanaa kuhusu nchi yangu na at times nakosa majibu kabisaa.Huwezi kuifikiria tanzania bila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mbona sipati matokeo ya urais majimbo haya, HAI, MOSHI MJINI, ARUSHA MJINI, KARATU, ILEMELA, NYAMAGANA, BIHARAMULO, KIGOMA, MBEYA MJINI, IRINGA MJINI, UBUNGO, KAWE,BUKOMBE, SINGIDA MASHARIKI...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
DK HARRISON MWAKYEMBE CCM 41,214 2 YUSUF KASANDE CUF 336 3 EDDO MWAMALALA CHADEMA 3,964 Ushindi wake ni wa 90.55 % ni mfano wa kuigwa
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kuendelea kuikumbatia ccm kulikooneshwa na watanzania licha ya ulaghai wa miaka nenda rudi nimekufananisha na maudhui ya wimbo wa mwanamuziki machachari wa kimarekani eminem unaosema i love the...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hatimae imefahamika kwamba kumbe ile tuliyokuwa tunaambiwa ni saa ya ukombozi ama ni ya kichina au iliwekwa betri za kichina baada ya kuonekana mwendo wake kusuasua kiasi cha kutishia ule...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI. Na tafsiri ya maneno haya ni hii; MENE, Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha. TEKELI, umepimwa katika mizani nawe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Namshauri Mh.Lowassa katika kufanikisha harakati zake za kujisafisha aandae kongamano katika kanisa lake na kutangaza kutubu waziwazi na kuahidi kurudisha mali yote aliyopata isivyo halali kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tanzania Daima la leo limeripoti matokeo haya ya awali pamoja na utata wa uhalali wake CCM imemgwaya Dr. Slaa kwa mchango wake katika kupanua demokrasia hapa nchini...........
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hapo tunasubiri matokeo yapi? Wenye kujua nipeni habari?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwenye basi nililolipanda leo wakati naenda kazini, nimesikia kuwa upinzani (Chadema) wamepata viti vingi vya ubunge, na baadhi ya wabunge wao ni sawa na 50 wa CCM, kama hivyo ni kweli basi...
0 Reactions
58 Replies
5K Views
KUNA NNINI KARAGWE:cool:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
There are currently 8601 users online. 1247 members and 7354 guests Most users ever online was 16,925, 1st November 2010 at 04:40 PM
0 Reactions
2 Replies
1K Views
EU: CCM imebebwa na vyombo vya dola
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Imenisikitisha sana kuona CCM,ilivyopora haki ya watanzania. Sasa CHADEMA wafanye nini? Nina pendekeza mambo yafuatayo Wadai tume huru ya uchaguzi na katika jambo hili wasiishie kulalamika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani wanajukwaa. Ninatoa wito kwa wote ambao wamepokea zile sms kutoka namba isiyojulikana since ijumaa iliyopita kuhusu chadema na wameathiriwa na ile sms wajitokeze tuandilishe majina na namba...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Jamani muda mfupi uliopita dkt Ali Mohammed Shein kaapishwa rasmi kuwa raisi wa awamu ya 7 ya uongozi Zanzibar. Mimi nilikuwa nikisikiliza matangazo kupitia redio lakini sikuwa na utulivu wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…