Matokeo ya Urais kwa majimbo ya CHADEMA hayatolewi, kwa nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matokeo ya Urais kwa majimbo ya CHADEMA hayatolewi, kwa nini?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by sizy, Nov 3, 2010.

 1. sizy

  sizy Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 29
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  mbona sipati matokeo ya urais majimbo haya,
  HAI, MOSHI MJINI, ARUSHA MJINI, KARATU, ILEMELA, NYAMAGANA, BIHARAMULO, KIGOMA, MBEYA MJINI, IRINGA MJINI, UBUNGO, KAWE,BUKOMBE, SINGIDA MASHARIKI, MBULU, MBOZI MAGHARIBI, UKEREWE, ROMBO, MUSOMA MJINI, MASWA MAGHARIBI & MASHARIKI, KASULU MJINI,:israel:
   
 2. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  bado wanachakachua
   
 3. G

  Gokona Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo wewe ni mshabiki sio mchambuzi na mfatiliaji wa siasa ila unafata mkumbo majimbo kama hai JK amepata kura nyingi zaidi ya slaa,Nyamagana na ilemela tayari sasa tatizo la watanzania kama wewe unataka kujifanya wewe jaji,wewe daktari,wewe tume,wewe mhadhiri maana suala la kutangaza matokeo kila sehemu duniani ni mamlaka ya tume kulingana na upatikanaji wa matokeo na kama una mtazamo hadi sasa JK anakura karibu 2.6 millioni sawa na asilimia 64 na Slaa laki 8 source gazeti la mwananchi huwezi kulalamika sasa acha ushabiki angalia mwelekeo wa matokeo.
   
 4. T

  TanzActive JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 350
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Umekosea , hapa TZ ni Mamlaka ya raisi aliyepo madarakani kupitia Tume

  Tume katika ngazi ya wilaya na kata , wanasimia wakurgenzi wa Wilaya(Wateule wa Rais) na Watendaji wa Kata (waajiriwa wa Rais) respectively
  kwa hiyo yote wayafanyayo wafanya hivyo kwa niaba ya mwajiri wao( Dr wa Kubumba KIKWETE)
   
 5. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Kweli we fara! we kila kitu yawe mavi ukipewa utakula? kweli sisiem ina watu wenye upungufu wa akili!
   
Loading...