Lipumba nae alikuwa moro akifunika!

shade

Senior Member
Oct 29, 2010
155
39
jana prof alikuwa akivinjari ktk mitaa ya moro kwa mara ya mwisho. msururu wa pikipiki na magari ulimsindikiza ktk mitaa ya manispaa ya morogoro. watu wakimwita rais nae alipunga mikono akikubali jina hilo. nae tumpe shavu kwa kutoa changamoto kwa miaka 20 sasa.:thinking:
 
20 years hata hakati tamaa, usije shangaa na 2015 akagombea tena huyu jamaa, Uroho au Unini huu LIPUMBA?
 
Lipumba angetumia busara kwa kuungana na Slaa wee mwaka wa 15 huu unaambulia patupu bado unakomaa
 
Wacheni ufinyu wa kufikiri hivi kuna sheria inayomzuia mtu asigombee ? Au Mtu anatakiwa agombee kwa muda gani ?? Hivi huyu kizere Slaa unajua ana miaka mingapi ,kwanini kwa umri alio nao hakai au hakukaa pembeni na kuachia vijana ? Tunatafuta kuzika raisi ?
 
Lipumba hana nyota ya kupendwa,wananchi hatumpendi aachane na uraisi arudi darasani kufundisha
 
20 years hata hakati tamaa, usije shangaa na 2015 akagombea tena huyu jamaa, Uroho au Unini huu LIPUMBA?

And what is the problem with that? Actually sisi wafuasi wa CUF tunataka agombee mpaka 2025! Nyerere aligombea miaka 24 na hakuna wa kumuambia kuwa alikuwa anagombea sana! Acheni upuuzi wenu.
 
Lipumba angetumia busara kwa kuungana na Slaa wee mwaka wa 15 huu unaambulia patupu bado unakomaa

Sasa tuone huyo Slaa naye anambulia "patupu" ama "pajaa". Na busara ni kama two-way traffic. How about Silaa kumuunga mkono Prof. Lipumba?
 
Lipumba hana nyota ya kupendwa,wananchi hatumpendi aachane na uraisi arudi darasani kufundisha

Hana nyota? Labda hizo nyote za kidini!

Mshaurini na Silaa arudi kwenye paroko yake kwani PhD yake ni ya theolojia, yaani sheria za kanisa.
 
Sasa tuone huyo Slaa naye anambulia "patupu" ama "pajaa". Na busara ni kama two-way traffic. How about Silaa kumuunga mkono Prof. Lipumba?

Wewe Al queda kwa nini usiende Yemen kujilipua unasumbua hapa. Kama Yemen hupendi nenda afghanistan
 
Back
Top Bottom