Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana Jf, nimekuwa nafuatilia michango mbalimbali juu ya katiba mpya. Ili kuleta uelewa kwa kada mbali mbali binafsi nimeridhika na kituo cha Startv kwani wameona umuhimu kwa kuandaa kipindi kila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF, Kwa namna nchi inavyokwenda chini ya uongozi wa Jk, nimekuwa nikipata wasiwasi juu ya uwezo wa rais jk kiuongozi. Nimekuwa nikijiuliza kwamba hivi nchi yetu ingeelekea wapi endapo Jk...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Redet: JK soma alama za nyakati Send to a friend Friday, 31 December 2010 20:48 0diggsdigg Salim Said MWENYEKITI Mwenza wa Mpango wa Utafiti na Elimu ya Demokrasia Tanzania (Redet), Dk Benson...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Daniel Mjema SAKATA la kutohojiwa kwa matokeo ya urais limechukua sura mpya baada ya kubainika kuwa, Mahakama ilikwisha agiza kuundwa kwa sheria itakayoruhusu kuchunguzwa kwa matokeo hayo na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani mi katika pitapita yangu nimekutana na hii list ya documents ambayo ina majina ya watu na malipo waliyopata, namba za cheki walizoandikiwa, watu aliosamehewa kodi...etc.etc, hivi ni public...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Fredy Azzah Leo tunauanza mwaka mpya wa 2011, ikiwa ni jana tu tumeupa kisogo mwaka 2010. Mwaka jana ulikuwa na matukio mengi ya kukumbukwa kama taifa. Miongoni mwake yapo ambayo ni makubwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kweli Hili TAIFA Letu Linaongozwa na Wezi. Wanataka Kutuambia Leseni na Mikataba ya Nchi Inakuwa Saini na Makampuni Tusiyoyajua au Sisi Watanzania ni Wajinga Kiasi Gani? Mimi Binafsi Kufanya Kazi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
1. Dr masumbuka lamwai 2. Dr walid kabourou 3. Prince bagenda 4. Tomas ngawaiya 5. ... .... Na wengine mtanisaidia jamani wako wapi mbona kimya kny siasa za bongo?
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Share14 Benki kuu ya Tanzania imetoa toleo jipya la noti za shs 500, 1000, 2000, 10,000. Noti hizi zitaingizwa katika mzunguko tarehe 1 Januari 2011. Noti za zamani bado ni fedha halali na zina...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Ngeleja na giza lililomshinda Mkapa, Kikwete Na Saed Kubenea - Imechapwa 29 December 2010 WAZIRI wa umeme, William Ngeleja ameomba kufutwa kazi. Asipofutwa na mtawala atafutwa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WATANZANIA MCHAKATO MZIMA WA KATIBA MPYA NI HAKI YETU NA WALA SI MILIKI YA RAIS Heri ya Mwaka Mpya 2011 kila mmoja wetu!! Ndugu zangu Wana-JF na Watanzania kwa ujumla wetu, tusisahau mambo ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika ibara ya kwanza ya katiba sifuri ya CUF inasema itavunja Muungano wa Tanzania unaoundwa kati ya Tanganyika na Zanzibar na kuunda Serikali ya Shirikisho litakalokuwa chini ya rais mmoja...
0 Reactions
54 Replies
6K Views
Nimekuwa nikienda kwenye meza za magazeti hapa UDSM kila mara naambiwa tz daima limeisha,yaani kila siku nalikosa! Mie nilidhani ni kwamba linapendwa sana,ila leo nimeenda sehemu fulani pia...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Polisi Z`bar wayapiga stop maandamano ya waumini Na Mwinyi Sadallah 30th December 2010 Jeshi la Polisi Zanzibar wamezuia maandamano ya kupinga kuvamiwa kwa zaidi ya ekari 10, mali ya...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania bara yaliyo tangazwa na rais Kikwete kuwa yatasherekewa nchi nzima kwa nderemo na vifijo, yana lengo la kuwapumbaza watanzania ili waamini kuwa CCM ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kheri ya Mwaka Mpya..... na Habari za Mwaka jana JK, najua ulikuwa mwaka mgumu sana ila Mwaka huu unaweza kuwa mgumu 3 times, lets wait kwa ugumu wa maisha wa wananchi. Ulipo ongea siku ileeeeeeee...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mabitoozzzzz....Failure Group
0 Reactions
0 Replies
903 Views
eti jaman naye c ana haki kama mtanzania eh ehe eh.......
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama Tulivyosikia Mwenendo wa Mapambano ya Katiba kwa Ajili ya TAIFA Letu. Kinachofuata Sasa ni Utaratibu Jinsi ya Kuundwa kwa Hii Tume. Kama Kawaida ya CCM, Hawata Toa Utaratibu Ili Wananchi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heri ya Mwaka mpya wanaJF Katika kipindi cha kesho: Mada ni majumuisho ya matukio muhimu ya kisiasa katika mwaka 2010. Tutagusia kuhusu Mageuzi ya Kisiasa Nchini, Nafasi ya Akinamama katika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…