Katiba sifuri ya CUF kuvunja Muungano na kuitambua Tanganyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba sifuri ya CUF kuvunja Muungano na kuitambua Tanganyika

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Luteni, Dec 30, 2010.

 1. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Katika ibara ya kwanza ya katiba sifuri ya CUF inasema itavunja Muungano wa Tanzania unaoundwa kati ya Tanganyika na Zanzibar na kuunda Serikali ya Shirikisho litakalokuwa chini ya rais mmoja.

  Ibara ya 100 inahusu uwapo wa Serikali ya Tanganyika na ya Zanzibar ambazo zitakuwa na mamlaka juu ya mambo yote yasiyo ya Shirikisho ambapo kwa mujibu wa rasimu hiyo, Kiongozi Mkuu wa Serikali ya Tanganyika na pia Kiongozi Mkuu wa Serikali ya Zanzibar, ataitwa Gavana.

  Pia Ibara ya 101 katika rasimu hiyo iliyotolewa na CUF, inasema kuwa magavana wa
  Tanganyika na Zanzibar watachaguliwa kwa mujibu wa Katiba ya Tanganyika na Katiba ya Zanzibar.

  Tujadili.
   
 2. N

  Nonda JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Ungeanza wewe kutoa mawazo yako.
  Sisi tutachukua kuanzia hapo.
  Hivi hiyo rasimu ya katiba ina ibara ngapi ?
  Imwage humu tuione, Mkuu.
   
 3. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Tuajdili kipi kati ya viwili ulivyoviweka hapo? Kuvunja Muungano au Shirikisho?
   
 4. M

  Mwambona1968 Member

  #4
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 5. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ukiondoa hiyo bold zilizobaki ni pumba ambazo zitaongeza gharama na migongano isiyo na msingi!
  Vunja zanzibar ibaki mkoa, kisha tunabaki na serikali moja!
   
 6. C

  CHE GUEVARA2 Member

  #6
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo ndio Democracy mkuu kila Taifa liwe na Dola yake huru....ikiwa ni vigumu basi ni bora mufanye muungano kama wa Scotland na England na kuwa United Kingdom lakini kila Nchi inafanya mambo yake kivyake bila kuzulumiana!!!!!!
   
 7. Mtumiabusara

  Mtumiabusara JF-Expert Member

  #7
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 18, 2009
  Messages: 473
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Wamezungumzia serikali ya shirikisho. Maana yake si kuvunja muungano bali ni kubadili muundo wa Muungano. Kuvunja Muungano maana yake ni kuondoa kabisa serikali ya muungano, na kurudisha nchi mbili huru ambazo ni Tanganyika na Zanzibar. Ni kweli hayo ndo yaliyomo kwenye rasimu ya katiba?
  Hiyo tafsiri potofu uliyoleta imetolewa na gazeti la Habari leo kwahiyo jaribu kuipitia vizuri.
   
 8. C

  Chief Rumanyika Senior Member

  #8
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwambona, asante sana kwa juhudi unazofanya juu ya vita dhidi ya ufisadi.
   
 9. N

  Nonda JF-Expert Member

  #9
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Tanzania ni muungano wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar.
  Unaposema vunja Zanzibar basi unakuwa hutatui tatizo ila unaongeza tatizo.

  Nafikiri ni jambo la busara kwa sisi kukubali kuwa Zanzibar ni equal partner katika muungano. Kutaka au kujaribu kuifanya Zanzibar kuwa mkoa, itakuwa ni annexation.

  Tutapata matatizo huko mbele.
  Jaji mkuu , Chande alifanya kazi ya kuitoa East Temor kutoka Indonesia bado hatutaki kusoma hapo?

  Nafikiri rai ya kuunda serikali ya shirikisho ni rai nzuri, kwani kutakuwa na state governments mbili na serikali ya shirikisho/kuu moja. Haitatatua kila tatizo lakini itapunguza msuguano katika muungano.

  Kwa hiyo, sioni kuwa wao wanataka kuvunja muungano bali wanataka equality kwa partners wa muungano. je wewe unapinga usawa?
   
 10. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #10
  Dec 30, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  katu Zanzibar haiwezi kuwa equal partner. Nguvu za California katika United States hazilingani na Rhode Island.
   
 11. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #11
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ulishawahi kufika hiyo nchi ya kwenye rangi nyekundu? Kama hiyo imefutwa tatizo ni nini kuiondoa na nyingine?
   
 12. N

  Nonda JF-Expert Member

  #12
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  mkuu,

  mimi naishi nchi hii.
  Nani aliifuta?

  na kwa sababu gani?
  Kwa sheria kifungu kipi?
   
 13. N

  Nonda JF-Expert Member

  #13
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  mkuu,
  kwa hiyo dhana ya usawa kwako haiko?
  kama nchi moja ni kubwa na nyengine ni ndogo katu hakuna usawa?
  jee kwenye EAC Rwanda ni mshirika sawa na TZ au??
   
 14. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #14
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Rais wake ni nani?
   
 15. Dubo

  Dubo JF-Expert Member

  #15
  Dec 30, 2010
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 322
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jakaya Mrisho Kikwete aka kiboko yenu
   
 16. m

  moma2k JF-Expert Member

  #16
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 953
  Likes Received: 984
  Trophy Points: 180
  Kisheria kuvunjika kwa muungano na kuunda shirikisho la Nchi za zanzibar na tanganyika kusaidia kupunguza migongano ya kisheria isiyo ya lazima. kiujumla Rasimu sifuri ya katiba iliyotayarishwa na CUF ni nzuri, inalenga mabadiliko yenye tija. Suala la MUUNGANo lililopo sasa ni fake, ni usanii fulani ambao kisheria Muungano wa aina hii haupo.
   
 17. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #17
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Huyo ni wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sio Tanganyika
   
 18. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #18
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,171
  Likes Received: 1,900
  Trophy Points: 280
  Ni kweli but! but; TANGANYIKA IWEPO PIA KAMA VILE ILIVYO IPO ZENJ Ndipo tanzania itakuwa si uchi TENA kinyume cha Hivyo tanzania itajificha yenyewe kwa kuwa ipo UCHI Hapo Ndipo tanzania itakuwa historia DUNIANI! ACHA MUDA USEME MWANANGU!;
   
 19. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #19
  Dec 30, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  Ni rahisi sana kuivunja Tanganyika kwa maana hai exist na sio Zanzibar. Mie naona umetoka kuamka kijana.
   
 20. N

  Nonda JF-Expert Member

  #20
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  umeshawahi kusikia term ya mtu kuvaa kofia mbili?

  Pitia historia ya Muungano..Nyerere rais wa Tanganyika ,pia alikuwa Rais wa URT.

  Sasa Mwalimu aliipeleka wapi Tanganyika yetu kama haipo? hivi pande la ardhi la Tanganyika yetu halipo? Mbona kuna mambo ya Tanganyika? Sote sasa tumekuwa wasanii?
   
Loading...