Katiba mpya, Bravo Startv | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba mpya, Bravo Startv

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by mams, Jan 2, 2011.

 1. m

  mams JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2011
  Joined: Jul 19, 2009
  Messages: 616
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wana Jf, nimekuwa nafuatilia michango mbalimbali juu ya katiba mpya. Ili kuleta uelewa kwa kada mbali mbali binafsi nimeridhika na kituo cha Startv kwani wameona umuhimu kwa kuandaa kipindi kila wiki kuwahusisha wachambuzi mbalimbali. Hii ni njia muafaka ya kuwaelimisha Watz na ningeomba vyombo vya habari vingine vifuate.
   
Loading...