"Dowans, EPA, Rada, Migodi" Sababu Gani Watanzania Haturusiwi Kuwajua Owners? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Dowans, EPA, Rada, Migodi" Sababu Gani Watanzania Haturusiwi Kuwajua Owners?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by niweze, Jan 2, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Jan 2, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kweli Hili TAIFA Letu Linaongozwa na Wezi. Wanataka Kutuambia Leseni na Mikataba ya Nchi Inakuwa Saini na Makampuni Tusiyoyajua au Sisi Watanzania ni Wajinga Kiasi Gani? Mimi Binafsi Kufanya Kazi Kwangu Sehemu Zote Sijawahi Kuona Wala Kusikia Vitu Vya Namna Hii. Ukweli Unakuja Kwamba VIONGOZI WA CCM HAWANA UCHUNGU NA TAIFA LA TANZANIA. Inakuaje Mtanzania Amezaliwa Huku Nchini Hasa Wengi Vijijini Pasipo na Huduma za Aina Yeyote na Ni Bahati Waliweza Kupata Huduma za Afya na Hata Kusomeshwa na TAIFA Letu Wanakuja Kuwa Wanyama Kiasi Hiki. Wananchi Tukichunguza kwa Undani Makampuni Karibu Yote Yalioingia Ubia na TAIFA Letu ni Hao Hao. Hatuwezi Kujua kwa Sasa Mpaka Hii KATIBA TUIPIGIE KURA NA KUANZA TAIFA JIPYA Masikitiko ni Kwamba Hata Huyu JK Anakuja Kugombea Uraisi kwa Mara ya Pili Hakustahiri Kuwa Kati ya Wagombea na CCM Wakamkubali. Zaidi Kilicho Kibaya JK Anakuja Kuiba Kura na Kuapisha Mawaziri na Majaji Haraka Haraka Ili Aendelee Kukaa Hio Nyumba Yetu ya TAIFA. Wananchi Wanaoona Haya Hasa Serikalini Wanatishiwa Kuuliwa, WikiLeak Reported Matatizo na Umaskini Tulionao Hautokani na Sisi Wananchi Kuwa Wavivu Ila UPOTOFU WA CCM NA KUTUMIA TBC NA VYOMBO VINGINE VYA HABARI KUTUDANGANYA. Vitu Vifuatavyo ni Vya Ukweli:


  1. Kazi ya Ministry of Commerce Tanzania National Website
  2. Kazi ya Tanzania Chamber of Commerce Ni Nini? Kama Sio Deal Making? (Tunajua Wanahusika) TANZANIA CHAMBER OF COMMERCE,INDUSTRY AND AGRICULTURE
  3. Ofisi ya Raisi Inauwezo wa Kufuatilia na Wamekaa Kimya
  4. Rostam Aziz Alihusika Kuingiza Kontena la Kura na Haya Ndio Malipo
  5. Ofisi ya Jaji Mkuu Inauwezo wa Kutoa Amri Kuletwa kwa Docs na Wao Wanahusika

  1. 6. Vyombo vya Usalama (Polisi na Usalama wa Taifa) Vinaweza Kumaliza Hili Swala kwa Kufanya Kazi Zao Angalia Kenya Katiba Inavyofanya Kazi
   7. Spika wa Bunge Anauwezo wa Kufuatilia Ukweli na Wabunge wa CCM Wanaonekana Kumwogopa JK


   "Wananchi Tusikate Tamaa na Katiba Itatusaidia Kama Silaha Kubwa Kumaliza Huu Uhujumu wa Taifa Letu"
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #2
  Jan 2, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Duh hawa jamaa waliamua kweli kuwakaba traffic police. Angalia na wao wasijekufanywa kitu mbaya kama Jery wa TZ
   
 3. m

  mzambia JF-Expert Member

  #3
  Jan 2, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Facts lkn bongolala siasa ni si ha swa
   
Loading...